Leo tarehe 11 Machi 2016 umefikisha mwaka mmoja tangu umetangulia kwa Baba yetu aliye mbinguni.
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa baraka na upendeleo wa kuwa sehemu ya maisha yako hapa duniani.
Tunaendelea kukumbuka kwa upendo wako, ukarimu, ucheshi na ufundishaji wako.
Daima mioyoni mwetu unakumbukwa na mkeo, watoto wako, wakwe zako, wajukuu wako,  wanafunzi wako, ndugu, jamaa na marafiki. 
Pumzika kwa Amani Mzee Makilagi. Raha ya Milele Uwape Eh Bwana, na mwanga wa milele uwaangazie. 
Amina

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. RIP MZEE MAKILAGI,KWA KWELI NAKUKUMBUKA MZEE WA GULF AIR AS CARGO MANAGER.UPUMZIKE KWA AMANI WOTE NJIA YETU NI HIYO HIYO TUNAPISHANA SIKU TU

    ReplyDelete
  2. Rejoice in Paradise baba.

    ReplyDelete

  3. Rejoice in Paradise baba !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...