Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia baadhi ya mitambo ya zamani ya kurushia matangazo iliyopo Themi Hill, Arusha.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipata maelezo
ya kutoka kwa Mkurgenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw.
Clement Mshana (kushoto)mara baada ya kutembelea maeneo ya TBC yaliyopo
Themi na Themi Hill mkoani Arusha na kujionea mitambo ya TBC na ile
iliyokuwa ya Radio Tanzania .
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia
mitambo iliyokuwa ya Radio Tanzania kwenye nyumba iliyokuwa ikitumika
kurusha matangazo, Themi mkoani Arusha.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akionyeshwa
moja ya eneo la TBC mkoani Arusha na Mkurgenzi wa Shirika la Utangazaji
Tanzania (TBC) Bw. Clement Mshana
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungunmza na
Mkurgenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw. Clement Mshana
mara baada ya kutembelea eneo la TBC lililopo Themi mkoani
Arusha,katikati ni Mkuu wa Kanda wa Shirika la Utangazaji TBC Ndugu
Christopher Mkama
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...