KWA MASIKITIKO MAKUBWA, MAMA JOHA MWALIMU ANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MUMEWE MPENDWA MZEE RASHID MWALIMU KILICHOTOKEA KATIKA HOSPITALI YA ROYAL BERKSHIRE UINGEREZA JUMANNE YA TAREHE 23/02/2016,  MAREHEMU AMEACHA WATOTO WATATU REHEMA RASHID, MSAFIRI RASHID NA MARYAM RASHID NA WAJUKUU WATATU AMBAO NI ETHAN, EVE NA RASHEEDA.

MWILI WA MPENDWA WETU UTASAFIRISHWA KUTOKA UINGEREZA KWENDA TANZANIA SIKU YA ALHAMISI YA TAREHE 3/3/2016. MAZISHI YATAFANYIKA SIKU YA IJUMAA TAREHE 4/3/2016 PALE BAHARI BEACH KWA KONDO KATIKA MAKABURI YA TEGETA DAR ES SALAAM, BAADA YA SALA YA MCHANA.

KWA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WOTE WA UINGEREZA KUTAKUA NA DUA PALE KATIKA MSIKITI WA ALEXANDER ROAD MJINI READING BERKSHIRE, SIKU YA JUMANNE TAREHE 1/3/2016 KUANZIA SAA SABA NA ROBO MCHANA (13:15PM UK TIME), KARIBUNI WOTE.

WABILLAH TAWFIQ

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...