Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Kwa sisi watoto wa mujini tunasema wanaisoma namba......au tunasema na bado......kwikwikwikwi

    ReplyDelete
  2. Mafuriko ni hatari lakini huyo dada aliyeweka mkono mfukoni kwa kaka aliyepishana naye ni hatari zaidi. Huyo lazima ni mchomoaji mzoefu.

    ReplyDelete
  3. Na umri huo mshajua kulalamika, kazi ipo.

    ReplyDelete
  4. Siku si nyingi sana watu mbalimbali walikuwa wakijigamba kuhusu mafuriko. Mafuriko haya vipi sasa? Mbona sisiskii mtu akijigamba?

    ReplyDelete
  5. Wabadili system ya mifereji yao dunia gani ina mifereji iloyo wazi...wakati watu hawana ustaarabu taka taka zote zinatupwa hapo....wajaribu kuweka mifereji ya chini ya ardhi kama nchi zingine

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...