Julai 2001: Taifa Stars wakiwa katika uwanja wa Independence jijini Lusaka kupambana na timu ya taifa ya Zambia "KK 11" ikiwa ni mojawapo ya michezo kusherehekea kuzaliwa kwa African Union (AU) iliyorithi Organisation of African Unity (OAU) iliyokuwa chini ya Katibu wake Mkuu wa mwisho Dkt. Salim Ahmed Salim, ambapo Amara Essy wa Ivory Coast alichaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa kwanza wa AU. Katika mchezo huu Taifa Stars ilikuwa chini ya makocha Gulam (wa pili kushoto) wa Zanzibar na Zakaria Kinanda (wa saba toka kushoto). Meneja wa timu alikuwa Jaji John Mkwawa (kushoto)
Home
Unlabelled
KUTOKA MAKTABA: TAIFA STARS WAKIWA LUSAKA MWAKA 2001
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
kama sikosei, walio chuchumaa wa 3 kutoka kulia ni Nassor Mwinyi Bwanga,anaefuatia ni Hussein Amani Masrsha, walio simama wa nne kutoka kulia ni Mohammed Salum. Haya tuendelee bac.
ReplyDelete