Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura
(Katikati), Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel (kushoto) na Mkurugenzi
Mkuu wa Star Media Tanzania Liao Lanfang wakibadilishana mawazo leo kabla ya kufunguliwa kwa mkutano wa tatu wa
ushirikiano wa vyombo vya Habari kati ya nchi za Afrika na China unaofanyika
Beijing nchini China.
Katibu Mkuu wa Wizara
ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Prof. Elisante Ole Gabriel (kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba na
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) Zamaradi Kawawa wakibadilishana
mawazo leo kabla ya kuanza kwa mkutano wa tatu wa ushirikiano wa vyombo
vya Habari kati ya nchi za Afrika na China unaofanyika Beijing nchini China.
Mkutano
wa Ushirikiano wa vyombo vya habari kati ya nchi za Afrika na China ukiendelea
mjini Beijing nchini China.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...