Mwakilishi wa Benki ya NMB, Nuhu Mkuchu (kulia), akichagua tiketi katika hafla ya utambulisho wa Ligi ya Mabenki iliyopewa jina la ‘Brazuka Kibenki’ itakayoshirikisha timu za soka na mpira wa kikapu kutoka katika benki zaidi ya 16 zajijini Dar es Salaam. Ligi hiyo inatarajiwa kutimua vumbi kuanzia Julai 30 mwaka huu. Hafla ya utambulisho wa ligi hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni baadhi ya wawakilishi wa benki hizo;  Nasikiwa Berya na Raymond Bunyinyiga wa Barclays.
 Mwakilishi wa Benki ya Barclays, Rajabu Abdallah (kulia), akichagua tiketi katika hafla ya utambulisho wa Ligi ya Mabenki iliyopewa jina la ‘Brazuka Kibenki’ itakayoshirikisha timu za soka na mpira wa kikapu kutoka katika benki zaidi ya 16 zajijini Dar es Salaam. Ligi hiyo inatarajiwa kutimua vumbi kuanzia Julai 30 mwaka huu. Hafla ya utambulisho wa ligi hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni baadhi ya wawakilishi wa benki hizo; Richard Mwalwiba wa NMB, Nasikiwa Berya wa Barclays na Raymond Bunyinyiga wa Barclays.
Mwakilishi wa Benki ya Citibank, Silver Samba (kulia), akichagua tiketi katika hafla ya utambulisho wa Ligi ya Mabenki iliyopewa jina la ‘Brazuka Kibenki’ itakayoshirikisha timu za soka na mpira wa kikapu kutoka katika benki zaidi ya 16 zajijini Dar es Salaam. Ligi hiyo inatarajiwa kutimua vumbi kuanzia Julai 30 mwaka huu. Hafla ya utambulisho wa ligi hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni baadhi ya wawakilishi wa benki hizo; Richard Mwalwiba wa NMB, Nasikiwa Berya wa Barclays na Raymond Bunyinyiga wa Barclays. Picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...