Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 27, 2016

    Naishukuru issamichuziblogspot.com kwa kuimulika Mbeya kwa tatizo hili. Ni tatizo la muda mrefu. Linahitaji elimu na miundombinu bora ya ukusanyaji taka na uwajibikaji katika Halmashauri ya Jiji.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 27, 2016

    Na taka zingine zinaweza kutumika kwa faida. Wanachi waundishwe kutengeneza compost kutokana na taka zinazooza na kisha watumie kwenye bustani zao za maua na mboga na mashambani. Kwa njia hiii Halmashauri itapunguziwa mzigo na itawajibika kukusanya taka ngumu zisizoooza tu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 27, 2016

    Mbeya si ndio ilipata tuzo ya usafi siku za karibuni! !!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...