Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akizungumza na wanafunzi wa shule ya msingi Mlimani ya jijini Dar es
salaam walioshiriki matembezi na kuimba nyimbo maalum wakati wa
maadhimisho ya 11 ya Siku ya Nile (Nile day) ,
Maadhimisho hayo yamehudhuliwa na nchi 10 zinazozunguka bonde la mto
Nile
na kubeba kauli mbiu inayosema “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha
Nishati, Chakula na Maji kwa
Wote”
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea taarifa ya upatikanaji wa maji jijini Dar es Salaam alipotembelea banda la DAWASCO na kupewa maelezo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Dawasco Cyprian Luhemeja wakati wa maadhimisho ya 11 ya Siku ya Nile (Nile day) , Maadhimisho hayo yamehudhriwa na nchi 10 zinazozunguka bonde la mto Nile na kubeba kauli mbiu inayosema “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa maadhimisho ya 11 ya Siku ya Nile (Nile day) , Maadhimisho hayo yamehudhuliwa na nchi 10 zinazozunguka bonde la mto Nile na kubeba kauli mbiu inayosema “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”
Wajumbe na wageni waalikwa wakimsikiliza kwa makini Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akihutubia kwenye maadhimisho ya 11 ya Siku ya Nile (Nile day) , Maadhimisho hayo yamehudhriwa na nchi 10 zinazozunguka bonde la mto Nile na kubeba kauli mbiu inayosema “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja n meza kuu wakiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya msingi Mlimani wakati wa maadhimisho ya 11 ya Siku ya Nile (Nile day) , Maadhimisho hayo yamehudhriwa na nchi 10 zinazozunguka bonde la mto Nile na kubeba kauli mbiu inayosema “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...