Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la Bunge, Ndg. Chacha Nyakega (aliesimama) akifafanua jambo wakati wa kikao cha uongozi kilichofanyika leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichofanyika leo ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.
Wajumbe wa kikao cha uongozi wakimsikiliza Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (katikati) akiongoza kikao hicho kilichofanyika leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...