Mkali wa muziki wa Singeli nchini, Msaga Sumu akiwapagawisha wanafunzi wa chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) na wimbo wa mwanaume mashine wakati wa tamasha la Pinduapindua lilioandaliwa na Vodacom Tanzania PLC, na kufanyika katika viwanjaa vya hosteli za Mabibo jijini Dar es Salaam,Tamasha hilo lilikuwa na lengo la kuwaelimisha wanafunzi wa chuo hicho kuhusu huduma ya kifurushi cha Pinduapindua.
Msanii wa muziki wa Hip Hop, Young Killer akionyesha umahiri wake wa kurapu”Kufokafoka” wakati wa tamasha la Pinduapindua lililoandaliwa na Vodacom Tanzania PLC, na kufanyika katika viwanja vya hosteli za Mabibo jijini Dar es Salaam,Tamasha hilo lilikuwa na lengo la kuwaelimisha wanafunzi wa chuo hicho kuhusu huduma ya kifurushi cha Pinduapindua.
Mtaalam wa kucheza na baiskeli ,Awadhi Mazame wa kundi la Chego Bike akionyesha manjonjo ya kuruka na baiskeli yake wakati wa tamasha la Pinduapindua lilioandaliwa na Vodacom Tanzania PLC, na kufanyika katika viwanja vya hosteli za Mabibo jijini Dar es Salaam,Tamasha hilo lilikuwa na lengo la kuwaelimisha wanafunzi wa chuo hicho kuhusu huduma ya kifurushi cha Pinduapindua.
Kundi la Maco Swagg Husein Habib likionyesha staili ya Pinduapindua wakati wa tamasha la Pinduapindua lilioandaliwa na Vodacom Tanzania PLC, na kufanyika katika viwanjaa vya hosteli za Mabibo jijini Dar es Salaam,Tamasha hilo lilikuwa na lengo la kuwaelimisha wanafunzi wa chuo hicho kuhusu huduma ya kifurushi cha Pinduapindua.
Abdallah Juma wakundi la Maco Swagg akionyesha umahiri wake wa kucheza pinduapindua, wakati wa tamasha la Pinduapindua lilioandaliwa na Vodacom Tanzania PLC, na kufanyika katika viwanjaa vya hosteli za Mabibo jijini Dar es Salaam,Tamasha hilo lilikuwa na lengo la kuwaelimisha wanafunzi wa chuo hicho kuhusu huduma ya kifurushi cha Pinduapindua.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...