Mwenyekiti kamati ya Ufundi Bw. Stephen Mapunda kutoka timu ya Majimaji akimkabidhi tuzo maalumu Waziri Makamba kwa kutambua mchango wake katika kukuza timu yao na kuwasaidia kupata ufadhili. Wengine ni Mwenyekiti Bw. Stephen Ngonyani na Shabiki wa timu​ ​hiyo​ ​Bw.​ ​Vian​ ​Nchimbi. 
Viongozi wa timu ya Majimaji wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhi tuzo aalumu kwa Waziri Makamba kwa kutambua mchango wake katika kukuza timu yao na kuwasaidia kupata ufadhili. Kushoto ni Mwenyekiti wa Timu hiyo Bw. Stephen Ngonyani, Mwenyekiti Kamati ya Ufundi Bw. Stephen Mapunda na shabiki wa timu hiyo Bw. Vian Nchimbi. 
Viongozi​ ​wa​ ​Timu​ ​ya​ ​Majimaji​ ​wakiwa​ ​Ofisi​ ​kwa​ ​Waziri​ ​Makamba.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...