Sehemu
ya Wakazi wa Dar es Salaam wakichagua nguo za watoto katika Mtaa wa
Congo- Kariakoo wakichagua nguo za Sikuu ikiwa ni sehemu ya maandalizi
ya sikukuu ya Eid El Fitri
Wazazi wawili wakishauriana kuchagua nguo ipi inafaa kwa watoto wao kama walivyonaswa katika Mtaa wa Congo na Agrey Kariakoo,jijini Dar leo.
Umati wa watu uliojazana Mtaa wa Congo Kariakoo kununua nguo za sikuu kwa ajili ya watoto wao katika msimu huu wa siku kuu ya Eid El Fitri

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...