Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Kongwa mara baada ya kuwasili wakati akitokea Chamwino mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kongwa mkoani Dodoma mara baada ya kuwasili wakati akitokea Chamwino mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza katika eneo la Makaburi ya Ukoo wa Ndugai mara baada ya sala fupi iliyofanyika katika eneo hilo |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kongwa mkoani Dodoma mara baada ya kuwasili wakati akitokea Chamwino mkoani Dodoma. |
Sehemu ya Wananchi wa Kongwa wakisikiliza kwa makini hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akiwahutubia. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kongwa mkoani Dodoma mara baada ya kuwasili wakati akitokea Chamwino mkoani Dodoma. |
Sehemu ya Wananchi wa Kongwa wakishangilia wakati wa hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akiwahutubia. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiweka shada la maua katika kaburi la Baba mzazi wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai katika eneo la Makaburi ya Ukoo wa Ndugai yaliyopo Chimotolo Kongwa mkoani Dodoma. PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...