Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akipata maelezo ya huduma za kibenki kutoka kwa Afisa Mkuu wa Wateja Wadogo na wa Kati – Filbert Mponzi alipotembelea kwenye banda la Benki ya NMB kwenye Mkutano wa ALAT unaoendelea jijini Mwanza. Wengine ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Serikali cha NMB – Vicky Bishubo (Kushoto).
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akimweleza Afisa Mkuu wa Wateja Wadogo na wa Kati wa NMB – Filbert Mponzi jinsi Serikali inavyothamini Benki ya NMB kama Benki ya Serikali alipotembelea banda la Benki ya NMB kwenye Mkutano wa ALAT unaoendelea jijini Mwanza. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Serikali cha NMB – Vicky Bishubo na Meneja wa NMB Kanda ya Ziwa – Abraham Augustino.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...