Naibu
Waziri Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya akizungumza na
wafanyakazi wa Kampuni ya Simu ya Tigo alipotembelea banda la maonyesho
wakati wa mkutano wa 39 wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)
unaoendelea jijini Dar es Salaam, Tanzania, ambapo Tigo ndio wadhamini
rasmi wa Wi-Fi inayotumika katika mkutano huo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...