Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akiongea machache mbele ya
wachezaji na viongozi wa Timu ya Soka ya Taifa ya Soka ya Walemavu
TEMBO WARRIORS kabla ya kukaikabidhi timu hiyo msaada wa shilingi
milioni 10 uliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli kuisaidia timu hiyo kushiriki kwenye mashindano ya
mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu Afrika (CANAF) yaliyopangwa
kuanza Oktoba 1, mwaka huu huko nchini Angola kwenye hafla fupi
iliyofanyika katika Studio zaShirika la Utangazaji la Taifa (TBC)
Mikocheni jijini Dar es salaam leo Septemba 22, 2019.
Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akimkabidhi Rais wa Shirikisho la
Soka la Watu Wenye Ulemavu Tanzania (TAFF) Shilingi Milioni 10 taslimu
mbele ya wachezaji na viongozi wa Timu ya Soka ya Taifa ya Soka ya
Walemavu TEMBO WARRIORS ukiwa ni msaada uliotolewa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuisaidia
timu hiyo kushiriki kwenye mashindano ya mpira wa miguu kwa watu
wenye ulemavu Afrika (CANAF) yaliyopangwa kuanza Oktoba 1, mwaka huu
huko nchini Angola kwenye hafla fupi iliyofanyika katika Studio za
Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Mikocheni jijini Dar es salaam
leo Septemba 22, 2019
Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akiongea baada ya kumkabidhi rais
wa Shirikisho la Soka la Watu Wenye Ulemavu Tanzania (TAFF) Bw. Peter
Sarungi Shilingi Milioni 10 taslimu mbele ya wachezaji na viongozi wa
Timu ya Soka ya Taifa ya Soka ya Walemavu TEMBO WARRIORS ukiwa ni
msaada uliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli kuisaidia timu hiyo kushiriki kwenye mashindano ya
mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu Afrika (CANAF) yaliyopangwa
kuanza Oktoba 1, mwaka huu huko nchini Angola kwenye hafla fupi
iliyofanyika katika Studio za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC)
Mikocheni jijini Dar es salaam leo Septemba 22, 2019
Katibu Mkuu wa Tanzania Paralympic Committee Tuma Dandi ambaye pia
ni mwanahabari wa TBC baada ya Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike
kumkabidhi Rais wa Shirikisho la Soka la Watu Wenye Ulemavu Tanzania
(TAFF) Shilingi Milioni 10 taslimu mbele ya wachezaji na viongozi wa
Timu ya Soka ya Taifa ya Soka ya Walemavu TEMBO WARRIORS ukiwa ni
msaada uliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli kuisaidia timu hiyo kushiriki kwenye michezo ya dunia
nchini Angola baadaye mwaka huu kwenye hafla fupi iliyofanyika katika
studio za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Mikocheni jijini Dar es
salaam leo Septemba 22, 2019
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Bw. Gerson Msigwa akiongea
machache baada ya Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike kumkabidhi Rais wa
Shirikisho la Soka la Watu Wenye Ulemavu Tanzania (TAFF) Shilingi
Milioni 10 taslimu mbele ya wachezaji na viongozi wa Timu ya Soka ya
Taifa ya Soka ya Walemavu TEMBO WARRIORS ukiwa ni msaada uliotolewa
na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
kuisaidia timu hiyo kushiriki kwenye mashindano ya mpira wa miguu
kwa watu wenye ulemavu Afrika (CANAF) yaliyopangwa kuanza Oktoba 1,
mwaka huu huko nchini Angola kwenye hafla fupi iliyofanyika katika
Studio za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Mikocheni jijini Dar es
salaam leo Septemba 22, 2019
Wachezaji wa wachezaji na viongozi wa Timu ya Soka ya Taifa ya
Soka ya Walemavu TEMBO WARRIORS akifurahia baada ya Katibu wa Rais
Bw. Ngusa Samike kumkabidhi Rais wa Shirikisho la Soka la Watu Wenye
Ulemavu Tanzania (TAFF) Shilingi Milioni 10 taslimu mbele yao ukiwa
ni msaada uliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli kuisaidia timu hiyo kushiriki kwenye mashindano
ya mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu Afrika (CANAF) yaliyopangwa
kuanza Oktoba 1, mwaka huu huko nchini Angola kwenye hafla fupi
iliyofanyika katika studio za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC)
Mikocheni jijini Dar es salaam leo Septemba 22, 2019
Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya
Rais Bw. Gerson Msigwa katika picha ya pamoja na Rais wa Shirikisho
la Soka la Watu Wenye Ulemavu Tanzania (TAFF) Bw. Peter Sarungi,
wachezaji na viongozi wa Timu ya Soka ya Taifa ya Soka ya Walemavu
TEMBO WARRIORS na wafanyakazi wa TBC Kitengo cha Michezo na viongozi
wa Shirika baada ya kukabidhi msaada wa shilingi milioni 10
uliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli kuisaidia timu hiyo kushiriki kwenye mashindano ya mpira wa
miguu kwa watu wenye ulemavu Afrika (CANAF) yaliyopangwa kuanza
Oktoba 1, mwaka huu huko nchini Angola kwenye hafla fupi iliyofanyika
katika studio za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Mikocheni jijini
Dar es salaam leo Septemba 22, 2019
PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...