RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj .Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa kisoma cha dua kumuombea Marehemu Haji Nassib Haji Nyanya, kilichofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Chuwini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj. Dk. Ali Mohamed Shein akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika kisomo cha Hitma kumuombea Dua Marehemu Haji Nassib Haji Nyanya na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto kwa Rais) Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Hassan Othman Ngwali, kisomo hicho kimefanyika katika msikiti wa Ijumaa chuwini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja.(Picha na Ikulu)
 WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakishiriki katika kisomo cha hitma kumuombea dua Marehemu Haji Nassib Haji Nyanya kilichofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Chuwini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja.(Picha na Ikulu) WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiitikia dua ya kumuombea Marehemu Haji Nassib Haji Nyanya iliofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Chuwini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja, ikisomwa na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Hassan Othman Ngwali (hayupo pichani)  (Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj .Dk. Ali Mohamed Shein akiitikia dua ya kuhitimisha kisomo cha hitma ikisomwa na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Hassan Othman Ngwali (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, dua hiyo imefanyika katika Msikiti wa Ijumaa Chuwini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja.(Picha na Ikulu) 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...