napata pata nanihii (jina nimesahau, semkae nikumbushe) katikati ya jangwa la dubai

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. kwa kweli wewe umezunguka! kha! hapo jangwani ulikuwa unatafuta nini?

    ReplyDelete
  2. Waarabu wanaiita Shisha Na kule ubatani (Turkey) wanaiita Nargile/narguileh (Hookah)

    ReplyDelete
  3. kikristu wanaita water pipe najua hayo mambo ukifika Cairo ndo kwake tena unajua umangani haswa kule muscat hata wakina Mama wanapata hii kitu sijui kuhusu Afghanistan wale wanazao tofauti

    ReplyDelete
  4. Michuzi hilo pozi utasema la Nancy kule ufukweni China, tofati yake wewe jangwani Dubai. Mh!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...