wazee maridadi wa unguja wakicheza kusherehekea mapinduzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. sawa hiyo yenyewe na kuna nyengine inaitwa dumbak...tamu sana hiyo pale forodhani nimepasahau karibu na Blues!

    ReplyDelete
  2. Hili ndo tatizo lenyewe!!!!ingepaswa hata wazee wa pemba washirikishwe.Kwani kama mapinduzi yalitokea katika ardhi ya unguja ukombozi hauwahusu wapemba.Hii ndo inaendelea kuchochea moto na chuki zisizo na mpaka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...