baibui ni vazi la dini gani?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Dini ya kiarabu.

    ReplyDelete
  2. Baibui ni nguo ya Asili ya watu wa Middle East (Wakristo na waislam) Kwa sababu linavaliwa na wa Israel na Wapalestina na woote wa Middle East

    ReplyDelete
  3. Duh! Asante sana michuzi kwani nimefanikiwa kumuona class mate wangu(huyo sista).Kwa kweli ni mcha mungu na hupenda kutoa ushirikiano sana.

    ReplyDelete
  4. Mambo shwari hii utaona bongo hatuna kinaa na mtu wee vunja ya kubana na mpasuo wenzio wengine wananyonga mpaka kwenye uso basi mambo tuu

    ReplyDelete
  5. Hilo ni vazi la Kiarabu ambao wengine ni Waislam na Wengine Wakristu

    Hapo ni sawa na kusema majina ya Kiarabu ndiyo ya Kiislam

    ReplyDelete
  6. No way, sista yule kalostica! Hebu mkumbushe kwamba unaweza kuimba vilevile ukivaa shorts au Mkondo-out sio lazima baibui!Sio harau kwake!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...