siku moja moja huwa 'nawasha mwezi' kwa kutangaza ktk TV mbalimbali, hasa mambo ya michezo, hususan panapokuwa na michuano ya kombe la dunia ama la afrika. huwa nakuwa na mtaalamu dr. liki abdalla (kati) na mtangazaji wa kituo husika kama huyu wa TVT wakati wa kombe la ulaya mwaka juzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Michuzi,

    Naona umekuwa Commentator! Wacha we!

    Holla at chemiche3@yahoo.com.

    ReplyDelete
  2. hiyo studio poa sana. Sema sijaelewa hiyo background ya bluu inasaidia ili kujazia background nyingine mbali mbali au ndivyo ilivyo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...