Haya mlie ughaibuni mwakion kituo cha basi posta mpya?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. tumekiona bwana kuna mapaa yenye rangi mpya mpya pale! big up! kama nika dar vile

    ReplyDelete
  2. hivi yale mameli mabovu yaliishaondoka?

    ReplyDelete
  3. umekuwa kipofu bwana alama? imebaki moja tu, mz zahra

    ReplyDelete
  4. Lakini bwana Michuzi hali ya fukwe zetu hairidhishi hata kidogo!

    ReplyDelete
  5. fukwe za ughaibuni ama bongo? fafanua bwana fikrathabit, kwani sie tulio huku siku hizi twaona mabadiliko. ama ulitaka zilidhishe vipi?

    ReplyDelete
  6. Bwaba michuzi inaonekana umemezwa na mfumo uliopo wa kupigia makofi kila kiandikwacho,kisemwacho na kisifiwacho bila kujikita ndani kuchabua ukweli uliopo!

    Wewe fukwe ya salender huioni na hata hiyo uliyopiga picha kutoa eneo la Kilimanjaro Kempisk!!!!!

    Sehemu kama coco beach bado hatuwezi kujivunia hata kidogo kuhusu usafi licha ya kua maarufu na kutembelewa na watu kibao,BADO ni kuchafu.Acha ukereketwa brother!!!!

    ReplyDelete
  7. Mzee tuko njiani tunarudi, mambo yote Bongo.

    ReplyDelete
  8. Nafikili hilo eneo limebadilika kiasi kikubwa na sioni uchafu wake uko wapi. at least hiyo fukwe haiko poluted kama tunazoziona hapa uk kwa mfano.To be honest with you brother wote tuna usongo wa kurudi nyumbani. I think everyone is enjoying that of your pic. Imean its a blue sea and a sunshine. Hapa kwetu ni Wet and dumb and no one is smilling!!! mzee simkae weston-super-mare au Barnham on sea ni kuchafu najua unapajua

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...