Rais wa Shirikisho la soka bongo, leodgar tenga ( wa tano kushoto) akiwa na nyota wa zamani wa bongo toka kushoto Maulid Dilunga "mexico", Fred Felix minziro, Lawrence Mwalusako, Mtemi Ramadhani, James Kisaka, Zamoyoni Mogella, Juma Mkambi na Juma Pondamali. Hii ilikuwa leo kwenye mdahalo wa wa kuendeleza soka bongo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Nini kilijiri kwenye mdahalo huo?Tulio mbali tungependa kujua pia masuala haya.

    ReplyDelete
  2. namuunga mkono jeff kuwa tungependa ripoti itoke bombani. naona hiyo ndio kasi na ari mpya!

    ReplyDelete
  3. Baada ya Kasim Manara kucheza Austria ndio basi tena hatuna wacheza wazuri wa kulipwa wanaoweza kununuliwa - Yanga au Simba wapate fedha? Maana ada ya uhamisho inaweza kuendesha timu vizuri tu.
    Anyway - Golden Boy kapata umri kidogo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...