hawa ni wadada wa kiswazi katika ngoma ya majani (reed dance) ya kila mwaka ambapo mfalme mswati, ambaye sasa ana wake 13, huchagua mke mpya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Mila yetu Tanganyika ilikuwa kutembea vifua wazi. Lakini nasikia Nyerere alisema lazima wanawake wafunuke maziwa yao! Kama tungekuwa bado tunatembea vifua wazi wanaume wasingeshutuka kama wanavyoshutuka wakiwaona mwali wanatolewa kwenye mdundiko! Na hamu ya kubaka ingepungua!

    ReplyDelete
  2. Hivi bado mswati anaoa?Hivi yule binti mama yake aliyekoroma wakati ule bado wanakula na mswati?Au ilikuwa magirini ya mama tuuu??

    ReplyDelete
  3. Sasa watu kama waswazi wakiniambia mimi nifuate utamaduni wa kiafrika nitawasikiliza. Ila mzee kala tai na suti halafu kapiga 'wei' kichwani halafu anaanza kuniambia vijana wa siku hizi hamjui utamaduni wa kiafrika huwa naona ananizengua tu.

    ReplyDelete
  4. sasa mambo haya wenzetu wamezoea. kama chemi alivyosema hapa SA ukiwa mgeni mgeni utageuka kila siku na kushangaa inakuwaje...yaani kuangalia mapaja ni ruksa!!mwendo mdundo tena usiseme sketi za shule!!!!!hizo hazitakiwi kabisa kuwa ndefu

    ReplyDelete
  5. Halafu viongozi wa Afrika wanakaa na huyo Mfalme Mswati ambaye anachukua watoto wadogo kama wake zake. Shame on him. Haya mambo inabidi yaondoke Africa (Mzee mzima Mfalme Mfalme atakufa na UKIMWI asipoangalia)

    ReplyDelete
  6. Ukiwa unakuna vya kuchinja hata siku mmoja tumbo haliumi ila ni vya kunyonga ndo vinaumiza sio Mswati peke yake Simba wa vita na watoto kila kona ukienda West utamkuta Mzee Obasanjo mzee wa kanisa lakini ana samsingi kama sita kila ikulu ina first lady wake

    ReplyDelete
  7. Bwana Michuzi, ungeachia tu ku post picha haramu kama hii.Jamani si mnaona jinsi ukimwi utatumaliza, yaani mimi ningekua Muswazi, ningemtoa mfalme yule kwa bunduki!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...