jack pemba akiwa na kanali kipingu, mkuu wa shule ya sekondari ya makongo, wakikagua kazi ya kutengeneza viwanja vitatu vya shule hiyo katika mpango wa miaka mitano waliongia na global scouting agency ambayo jack pemba akiwa ni makamu wa rais ameamwaga mamilioni ya shilingi kuutengeneaza ili zipaji vivhanga vya soka vifanyie mafunzo kabla ya baadhi yao kuteuliwa kwenda uk kwa majaribio ya soka la kulipwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. PEMBA: "Yaani hapa Brother akiongeza kukwangua kidogo tuu, kama sentimita moja chini, kiwango cha soka cha hawa vijana kitapanda."

    KIPINGU: "Eti enhee.. Nilikuwa sijui hilo .Ndio maana uwanja wa Taifa mechi zake zinakuwa hazina kiwango"

    ReplyDelete
  2. Hahahaha anoy hapo juu. Jeki suti imeenda skuli, ila acha longolongo, fanya kweli kuhusu hivyo viwanja

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...