braza charles kizigha (shoto) na bwamdogo benard rwebangira wakinipokea deili niuz nikiwa natoka ughaibuni na nondo mpya za kazi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Michuzi,

    I thought you were a Nikon Digital Guy! What's up with the L lenses?

    ReplyDelete
  2. Kaka...kamera gani hizo? Utujulishe na siye basi tuone kama tunaweza kununua.

    ReplyDelete
  3. Michuzi,sasa kama hapo hizo (nondo) zinakuwa mali ya nani? zako binafsi au daily news ?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...