wachezaji wa yanga waliokuwa mazooezini brazil na taifa staaz wametua dar leo tayari kuipa taff timu yao ambayo jumapili ina kipute. wadau wakereketwa wa jangwani hebu tushushieni majina yao. shukran ziende kwa bia ya serengeti ambayo ndo wadhamini wa hiyo safari ya staaz brazil

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Toka shoto ni Gaudence Mwaikimba,Abdi Kassim, Hamisi Yusouph "waziri wa ulinzi", Ivo Mapunda na Nadir Haroub "Canavaro".
    Wapi Nsajigwa na SMG?

    Penye nia pana njia.

    ReplyDelete
  2. Si mchezo, bila shaka Jumapili tutaanza kuona matunda ya mazoezi ya Brazil.
    Kwa wale wana Yanga Blogu yetu ni www.yangatz.blogspot.com

    ReplyDelete
  3. Ni kama vile Abdi Kassim na Hamis Yusuph wanasema....ebwana wee hiyo jumapili hao Atletico watatukoma yaani ni formation ya samba kwenda mbele.Huku Ivo Mapunda,Gaudence Mwaikimba na Nadir Haroub wakitafakari joto la bongo.

    ReplyDelete
  4. Duh!kweli jamaa hawakwenda kutalii,wamepungua kwelikweli!
    Kila la kheri yanga jpili.Ila im not happy na huyu kocha wao,anatakiwa awape psychological support timu yake,sio kuyugayuga tu!aache uoga,uwezo wa Yanga kuwafunga hawa wa Angola upo mkubwa.Hasa wakiwatumia viuri hawa jamaa waliotoka Brazil.

    ReplyDelete
  5. michuzi, wapi comments zangu za popobawa?? umenibania sio, au nimeandika pumba nini?? anyway, uamuzi wako niwa mwisho, kazi njema

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...