askari 46 wa kikosi maalum cha kuzuia magendo (kmkm) cha zenj wakila kiapo mbele ya rasi amani karume baada ya kupata kamisheni na kuwa ma sab-luteni leo kwenye chuo cha kmkm



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hili jeshi lingekuja huku Bara, kuchukua nafasi ya PCB labda rushwa ingepungua kijijini kwangu.

    ReplyDelete
  2. Hilo sio jeshi hao ni vijana a maskani kazi yao ni kuwanyanganya watu karafuu zao huko Pemba kwa madai ya kuzisafirisha ka magendo.
    Pia kazi yao nyengine ni kusubiri wakati wa uchaguzi kupita mitaani wakitisha na kupiga watu na hakuna yoyote anaethubutu kuwachulia hatua.
    Hawana kazi yoyote ya maana ya kijeshi wanayoifanya.
    Serikali ya Muungano pia haithubutu kusema fyoko vijana hao wanapowatia mkong'oto hata polisi wa Muungano. Umesahau vijana hao walipowapiga Polisi wakawaumiza pale Fuoni Zanzibar? Kisa kilikuwa nini?Eti gari lao lililokuwa limeenda kukata kuni za wizi katika hifadhi ya mikoko lilisimamisha na Polisi.Kwahiyo vijana hao ambao wanapewa vyeo na Karume hapo waliteremka gari na kuwapatia mkong'oto polisi kisawasawa na hakuna lililofanyika mpaka leo.
    Sasa ndio hao wanapandishwa vyeo ili waongeze ngebe na jeuri. The guys are above the law in Zanzibar.
    They are bunch of holigans and jerks.

    ReplyDelete
  3. Anon wa Thursday, March 01, 2007 10:12:00 AM, sentensi yako, "Hawana kazi yoyote ya maana ya kijeshi wanayoifanya," ni over-loaded!

    KAZI YOYOTE?

    ReplyDelete
  4. Heko KMKM kwa kuajiri askari wa kike warembo.Hawa ndio askari Bwana Michuzi akikwakwambia kwa sauti nyororo "kaka nasema simama" mwenyewe unasimama bila hata kuuliza Swali na unanyon`gonyea mwili mzima.Hata akikuambia nikufunge pingu unamwambia yuko huru kukufanyia lolote na kukushika popote na kukupeleka popote apendapo na unaweza jifunga pingu mwenyewe ili usimuudhi tofauti na midume askari ambayo ikisema "simama" unakimbilia mbio porini kama una kichaa cha mbwa kuwatoroka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...