wadau wa celtel wakiwa kwenye kili music awards. trupu hili ni hatari katika kuitangaza kampuni hiyo ya simu za mkononi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 27, 2007

    huyo msichana wa pili kushoto ni veronica au? michuzi plz nauliza.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 27, 2007

    Jamaa nyuma mtu mzuri sana nilikuwa naye Ruvu JKT

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 27, 2007

    Duh kamanda D.Kwiyuka na msela Beatrice nawaona mlivyolipuka, duh long time guys since i left you! keep it up, gonna meet one day...
    Mlalahoi!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 28, 2007

    Wa Kwanza kushoto hauridhishi, hiyo lipstick hadi kwenye meno. Na wa tatu..mh kidoti hicho ondoa. Ni Minor surgery inachukua dakika tano. Na hizo Makeup zenu mzipake vizuri manake poda tu inaonekana.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 28, 2007

    yea aniny wakwanza huyo ni vero ma-d.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 28, 2007

    Hey Betrice, am hap 4 r progress,i remember ure my prefect at Kifungilo mdada poa sana...kip it up

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 28, 2007

    Hi Betrice, u luk just the same as ure at Kifungilo,i remember ure my prefect,am hap 4 ure progress n wish u well..

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 28, 2007

    Sleep with a Mzimbabwe boss ukifke hapo alipo huyo dadako (ati progress)..Wasichana wa mjini wanajua wanavyopata vyeo.Be very afraid...Hahahah.Kaaazi kwelikweli!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 28, 2007

    Anony was 5.05pm, "Wasichana wa mjini", my brother, work harder than anyone in Dar! Some frustrated men may think that they sell themselves short by sleeping with bosses etc. But the truth of the matter is that give a young lady and a young man the same responsibilities and the lady will out perform the man! Got nothing to do with sleeping with the boss. It's about focus and forward thinking. In this town (Dar), most men just wanna take the easiest way to get rich - by stealing and cutting corners. Come on, tehn you say girls sleep around? Most corporations are now filled with ladies in prominent decision making positions - and all you can say is "wasichana wa mjini..." Come with something better please!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 29, 2007

    punguza hasira anony 11.54

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 29, 2007

    anonyomous wewe ndio huyo dada uletajwa nini, mbona jazba na kujitetea kwa sana...Heheheheh. Kazi si ndogo.Huyo Mzimbabwe kulikoniiii????..Ni hayo tu!

    bootaegurl@hotmail.com

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 29, 2007

    Makubwa!

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 29, 2007

    dada wa mwanzo apo, iyo lipstic kama umekunywa supu ikakuganda, hhhhaahah rangi nyengine hazipendezi

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 29, 2007

    Watu wa mji huu mawivu kibao...mbona hamsifii...wenzenu wako successful big up to them!!! wanastahili sifa...wangapi mpo tu mji huu hamna mbele wala nyuma???? mtaishia madongo wenzenu wapo juuu!! Big up guys..all of you!! Dont care about gossipers!!kazi yao kidoti, mara lipstic, mara mzambia....yenu hamyasemi!! dada zangu na kaka hapo...make life better!!

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 29, 2007

    jamaniii...Vero, rahma , esther, beatrice na deo....jamani hawa watu ni brilliant, very intelligent i tell you!!miss you guys...how is tz??

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 29, 2007

    Nimekuona Esther.

    Bado unakaa Sinza kwa wazazi wako? Nipe yako tuwasiliane.

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 29, 2007

    duuuh hiyo lip stick sio mchezo utafikiri amekula supu ya utumbo,si unajua kidogo tu imeganda.

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 30, 2007

    AAh dada veronica M.....naona unarepresent tayari....st.francis matawi ya juu bana watachonga sana kuhusu wadada tuliokulia pale, lakini tutaendelea kunyanyasa tu. You always look good girl.

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 30, 2007

    Jamani,sijapenda hii conv,hasa wewe uliyekazania lipstick ya mwenzio,kama ni wazuri,ni wazuri tuu,na kama ni wabaya ni wabaya tuu,unataka na wewe kuonekana,mfuate michuzi plz wivu wa nini.Big up guys,mimi nimeipenda hiyo picha,na nini nitamfuata michuzi so that he take my pic here.

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 30, 2007

    wenzio washakutaja wewe unayeponda humu ndani ni mmoja tu,na anafanya kazi hukohukoo nanihiiiiiiiiiiii
    Duh,demu pole na kijiba cha rohoo,ndiomaana g8 wote walikumaliza,wenzio bado wanathamani na heshima zao mjini.pole sana hahahahaaa.

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 31, 2007

    Heshima zao wapi, huyo demu wa nyuma ana tabia ya kugandaganda wanaume za watu, kila saa kuwapigia:Uko wapi? Mara ajitolee kuwabadilishia seat covers za magari yao, mara mapazia ya nyumbani mwao..Sasa kamganda mchagga fulani..Haloo...

    Huyo alieshamalizwa na G8 hatuhusu maana hayupo hapo pichani, sie tunacomment ishu za wat pichani na looks zao, na lipstics na powders zao za sh 2500/=..Uzuri jigaramie!.Alaa

    Ni hayo tu, sijatukana mtu, ni maoni tu..Michuzi usibane bana!

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 31, 2007

    G8 KITU GANI?? G8 NI KINA NANI??
    AU WAPO ktk list hii...
    MLATIE-ROSE GARDEN
    MAGAI-LAWYER
    HAMIS KINDOROKO-BUSSINESSMAN
    OMAR KIMBAU-DIWANI
    ERIC SHIGONGO-GLOBAL PUBLISHER (MAGAZETI YA UDAKU)
    RICHIE DILON-MACMILLAN
    INNOCENT MACHA-COWI
    DAVIS MOSHA-BUSSINESSMAN
    CHARLE MTAWALI-BUSSINESSMAN
    JOSEPH KUSSAGA-CLOUDS FM
    RUGE MUTAHABA-CLOUDS FM
    RUBEN MWAIKINDA-ORYX
    DANI YONA (JUNIOR)
    SISCO MTIRO-CHIEF OF PROTOCOL
    PIUS KASUGA-BUSINESSMAN
    RAY-REGENCY HOTEL
    JAMES LUGEMBE-TRAVELMATE
    BASHIRI AWALE-STABINK MD
    CHERLS KIMEI-CRDB MD

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...