Home
Unlabelled
diamond jubilee
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hakuna Kitu uzushi tu. Huu ukumbi umeshafanyiwa matengenezo sana nakumbuka kwenye miaka ya tisini wafanya hivyo hivyo wakasema ukifunguliwa utakuwa babu kubwa afrika yote...ahh wapi kuja ni vile vile tu. Labda sas hivi ukiniambia makampuni ya nje yamechukua hapo tunaweza ona tofauti
ReplyDeletekwa wanaopenda harusi za kifahari hapa ndo pahala pake.maana kuukodi tu milioni mbili hujaweka chakula na vinywaji.
ReplyDeleteWewe Tarehe Friday, June 01, 2007 5:18:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous
ReplyDeleteTshs milioni 2 ni aprox $2000 hiyo sio ghali kabisa. Ni fair price. Kama mtu hana hizo kwanini atake kufanya harusi ya kifahari? Hapo ndio mambo ya michango sasa. Tukiambiwa tuchangie elimu tunakuwa wagumu.
Nashukuru Mr. Michuzi, nilitoa ombi jana hapo chini la kuonyeshwa ukarabati unaoendelea hapo DJ. Huu ukumbi una historia ndefu, mikutano mingi tu ya kihistoria (ikiwemo Nyerere kutangaza vita na Idi Amini) imefanyika hapo.
ReplyDeleteSijui hasa plani ya muda mrefu ni nini hapo, kwa sababu kujenga ukumbi wa kisasa kwa kiasi inaweza kupoteza kumbukumbu hiyo.....labda wataishia kujenga pembeni kama walivyofanya uwanja wa taifa, lakini sikumbuki kama pembeni kuna nafasi.
Anko michuzi mie kwakweli sihelewi kabisa eti bongo tunasema ni sisi tunaukumbi... huu sio ukumbi jamani. ni haibu kubwa sana kwa nji... eti kumbi basi DJ.. hii ni godauni.. inatofauti gani na godauni labda kwasababu inamapanga boy. Tanzania tubadilike na tujue kweli tunahitaji kuwa na kumbi moja la maana la kimataifa. kama mkapa ameweza kutoa zawadi la wanja basi kikwete atupe angalau zawadi ya kumbi.
ReplyDelete