Home
Unlabelled
maji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi hiyo maji machafu ni sahihi, kwani magari mengi ya kunyonya maji machafu yanapaki hapo. Sasa kama unavyojua biashara inaangalia upepo, baada ya kuongezeka shida ya maji basi na magari ya maji safi nayo hupaki hapo kusubiri wateja wanaotaka maji.
ReplyDeleteTHE SILENT STALKER says......Zamani palikua na Malori ya kubeba maji Machafu....
ReplyDeleteSehemu hii ndipo ule mfereji wa MAJI MACHAFU ya University,K'nyama na Sinza unapita mithili ya Mto unanaelekea kwenye Mabwawa ya Maji Machafu...
ReplyDeleteheri ndugu hapo juu umetaja bwawa , inaelekea wengi humu wageni. halafu wanapenda kuchonga,.....pumba tupu !
ReplyDeleteSir Issa Lugha ya picha hii..."NCHI YETU INAJITAHIDI KWELI KUHAKIKISHA BAADHI YA WANANCHI WANAPATA MAJI KWAMATUMIZI MBALI MBALI".."..KAMA SIKOSEI HAYO SIO MAJI YAKUNYWA NA KAMA NI YA KUNYWA BASI WIZARA YA AFYA ITAKUWA IMESHAYAFANYIA UKAGUZI MZURI, HAYO MANTENKI PAMOJA NA HILO ENEO.. BILA KUSAHAU UHARIBIFU WA MAZINGIRA..(LAKINI mmm ????)"..:((((
ReplyDelete