Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Poleni sana watu wa Magazeti kwa kupoteza chanzo chenu kikubwa cha habari.
ReplyDeleteShigongo, sasa una kibarua kipya cha kumjenga Amina mwingine ili magazeti yako yauze.
Maskini Rahman! Rahman ndiye mtoto pekee wa Amina ni huyo mwenye t-shirt ya njano amekaa kulia mwa baba yake. Jamii tumuenzi Amina Chifupa kwa kumsomeshea mtoto wake na kuhakikisha anaepukika na madawa ya kulevya. R.I.P AMINA.
ReplyDeleteJamani yaani mtoto anasikitisha huyo. sijui hata hapo alipo anafikiria nini. Mungu akubariki na akuonyeshe njia njema ya kupita na siku moja kama ni mapenzi ya Mungu utakutana na mama yako Mpenzi. I feel so bad for him.
ReplyDeleteWE ANON 05.08 SASA UNAANZA KUBWABWAJA.. KAMA HUNA CHA KUANDIKA TOA POLE ZAKO THEN ISHIA.. SIO TU KUANDIKA PUMBA ZAKO HAPA. WOTE WALIOKUFA NA KUWACHA WATOTO WAO WADOGO NANI ANAWASOMESHEA...!! UNAFIKI TUU!! GET A LIFE!!
ReplyDeleteJAMANI MWENZETU KESHATUTANGULIA NI KUMUOMBEA TUU ALALE SALAMA. KAFAJE, WATU HAWANA VYANZO VYA HABARI, OOH BLA BLA BLA HAZIMRUDISHI NG'OOOO!! NA KAMA NI MKONO WA MTU.. WAZUNGU WANASEMA WHAT GOES AROUND COMES AROUND..SO THEY SHOULD GET READY TOO!!!
UNAFIKI TUACHE OOH TULIKUPENDA SANA OOOH BLA BLA NI UNAFIKI TUU. WAKATI MLIKUWA MKIMCHAMBUA NA KUMKANDIA KAMA NINI LEO MAPENZI YAMETOKA WAPI AU NDO MTU AKIFA BASI SIFA ZOOTE HATA KAMA ZA UONGO.
MIMI KAMA BINADAMU NAMUOMBEA ALALE SALAMA HUKO ALIPO NA MUNGU AWASAIDIE FAMILIA YAKE KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU SANA. NA POLE NYINGI SANA KWA MWANAE.. KWANI HATAKAA AONJE PENZI LA MAMA. LAKINI GOD WILL GET HIM THROUGH! AMEN!!
We anony wa 11:35 epuka lugha za kuudhi watu. kuwa mwadilifu. Tumia maneno ya hekima na busara.
ReplyDeleteanony wa 11:35:00pm toa pumba zako.
ReplyDeleteabony 11:35 nenda kamuone therapisty something is wrong with you. Unakua kama umechanganyikiwa vile. Utakatakka na kubisha lakini ..believe or not you can learn so many thing about a person just by reading. Kwanza kutumia upper cases ni shouting sijui unamshoutia nani?
ReplyDelete