chozi la mama




mpakanjia akimwaga chozi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 28, 2007

    mpakanji unalia nini sasa wakati mke ulimuacha? kazi kwako

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 28, 2007

    OOh man1
    i feel sory to Med.
    Vumila ndo hali ya dunia kwani kila nafsi itaonja mautitulimpenda mpendwa wetu Amina lakini Mungu amempenda zaidi be strong man you will be fine.
    R.I.P MPENDWA
    BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE
    AMEN
    Willy

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 28, 2007

    we anonymous wa hapo juu kumuacha mtu sio kwamba humpendi alimpa muda tu wa kujirekebisha. mwenzi wako hata kama mlikua hamsemezani ndani akifa thats anoyher story. muacheni alie ana mengi ya kukumbuka. ila namuomba Shigongo please acha maisha ya watu unawaumiza wengi kwa udaku wako

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 29, 2007

    Huyu SHIGONGO lazima atafutiwe dawa, nae ni mmoja wa muuaji wa Amina maskikin. Nina wasiwasi sasa atafilisika na kampuni yake. Labda sasa aongeze bidii, kuwakashifu wagombea wengine wa Uenyekiti UVCCM mpaka wafe, ili apate yeye hiyo nafasi, maana anatamani nafasi ya Amina apewe yeye. kama wewe wa NO, ni NO tu, utaishia kuandika umbea na kubeba dhambi tu! mjinga sana wewe, kama hujaenda shule vile, unaona sifa eti "Waraka wa Shigongo kwa Amina" we umekua mungu mtu mpaka kutoa hukumu ya mtoto wa watu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...