Home
Unlabelled
kioo cha jamii
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
yeah hii ni kama kuruka mkojo na kukanyaga vinyasi
ReplyDeleteni watu wangapi wanakufa na heart attack na diabetics complication sasa hivi? watu wanajilia tu ili wanenepe kumbe wanakaribisha magonjwa mengine.
tusipo ondoa hii stigma itakua shida tu
we jidanganye tu na hiyo mimatako yako,ukimwi una mahesabu kibao ya kummaliza mtu.
ReplyDeleteUkienda bongo ukimwona mtu amenenepa ...ukimwambia ehe umenenepa unamwona anafurahi kweli nakusema asante...kumbe nchi zingine ukimwambia mtu amenenepa ni kama umemtukana vile.
ReplyDeleteInabidi na matangazo ya kuwaelimisha watu wajue uzito wao na uwe kama unavyotakiwa na Body mass index. Na madhadha ya kuwa overweight.
Bongo hayo mavyakula yanayoingizwa kutoka nchi za nje sasa hivi basi watu watakula tu na life style yetu ndio hivyo mafuta yatahamia kwenye matumbo.
Manake siku hizi vitambi sio vya bia tena ni vya peanut butter na mayonnaise. Halafu hizo ni preservatives wakati tuna maziwa, mayai fresh na karanga natural tungeweza kutengeneza organic za kwetu. lakini wabongo wanapenda vya nje ambavyo hatujui vimekuwa tinted na nini?.