Home
Unlabelled
jikhoman
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jhikoman ni mwanamuziki mahiri sana wa Reggae,kiwango cha muziki wake ni wa kimataifa kabisa.Ana vionjo ambavyo vinatofautisha na Reggae zingine.Ni muda tu anasubiri ili haweze kutambulika zaidi ulimwenguni,na kuzidi kuuza kazi zake nyingi zaidi.Shoo zake za Finland,Sweden,Norway zilifana sana.Endeleza kazi nzuri ya upigaji wako wa muziki.Unaweza kusikiliza baadhi ya kazi zake kwa kwenda 'my space' na andika'Jhikoman,basi itakuongoza hadi kwenye ukurasa wake.
ReplyDeleteJhiko analazimisha fani,hebu sikiliza muziki wake au tazama video zake uone kama zitakuvutia! ni muziki usioeleweka makelele tu na kurukaruka ndio kumetawala lakini hakuna taste wala rhymes!
ReplyDeleteInawezekana akawa mwanamuziki mzuri ila reggae inamshinda mi namshauri ajaribu kupiga na vionjo vingine kama dansi, bongo fleva. Roots reggae sio mchezo inataka kichwa chenye utulivu na ubunifu mkubwa ndio maana wengi wanakimbilia kwenye ragga.
Wewe annoy wa hapo juu unayemponda Jhikoman,unajua muziki au unaongea tu?Labda kwako ni makelele lakini muziki wa Jhikoman ni mzuri.Asingepata mialiko mingi ya kimataifa kutoka kwa watu wanaojua muziki,kama Jhiko angekuwa anapiga makelele.WaBongo huwawezi kwa roho ya kwa nini.Acha kuponda pasipo na sababu ya msingi.
ReplyDelete