JK LEO AMECHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA AFRICAN UNION KATIKA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA HUKO ADDIS ABABA, ETHIOPIA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Waaaoooohhhh.... That's very very Good News to hear.... Hongera our President!!!!

    ReplyDelete
  2. wewe unatoa hongera badala ya kusikitika! Mtu mwenye mguu nje ya nchi kila wakati, unategemea nini baada ya kuvishwa huo uenyekiti!

    Mimi Nadhani wangekataa hicho cheo wamalize matatizo yetu kwanza. Tuna matatizo mengi sana ambayo tunamwitaji ayamalize badala ya kuanza kudeal na DArfur au Somalia!

    ReplyDelete
  3. mpeni hongera zake mkuu, amejitahidi maana kuchaguliwa na wakuu wa nchi wanaona anafaa sana, pongezi zake jamani.

    ReplyDelete
  4. Headache tupu kwa JK. Kenya tu hapo ameshindwa kuongea na Kibaki na Odinga kumaliza mzozo wa uchaguzi sasa hivi imekuwa Rasmi utakuwa ndio msuluhishi sasa jasho litakutoka hapo

    ReplyDelete
  5. HONGERA ZIMFIKIE RAISI WETU,LETA MABADILIKO KWENYE AU.TUJUE WHAT AU STANDS FOR AND WHAT CHANGES IT CAN BRING TO AFRICA.

    ReplyDelete
  6. Hongera sana Mh. Jakaya Kikwete.

    Kuchaguliwa kwako kwa kauli moja kunaonesha imani kubwa waliyonayo wafrika juu yako.

    Nakutakia kila la heri na mafanikio mema katika kipindi chako cha uenyekiti wa African Union.

    ReplyDelete
  7. jamani watz hilo si jambo la kufurahia,rais wetu kaongezewa kazi nzito, sasa kazi zake za hapa nyumbani atazifanya lini? rushwa,ufisadi,uzembe nauozo mwingine atakumbuka kweli? mi naona itakuwa ngumu. yangu macho!!!

    ReplyDelete
  8. hongera vasco sasa tuone kama utaweza kusuluhisha ndugu zetu wa kenya waache kupigana mapanga.

    ReplyDelete
  9. sasa sijui bw vasco da gama atahamisha na makazi yake huko ethiopia?

    ReplyDelete
  10. Weka legacy: Tuletee umeme wa nuklia!!!!!!!!!!

    Uranium tunayo kwa WINGI...itachotwa na kupelekwa nchi za nje na sisi kubakia kula "mapanki" ya umeme!

    Sasa tuna unanium huko Karagwe, Nachingwea, Bahi na Mbinga!

    Soma habari ifuatayo:

    Atomic announces approval of 43-101 report for 1761 sq. km. Mbinga uranium project in Tanzania
    Wednesday January 30, 9:30 am ET
    VANCOUVER, Jan. 30 /CNW Telbec/ - Atomic Minerals Ltd. (ATL: TSX-V) is very pleased to announce that it has received final approval from the TSX Venture Exchange (the "Exchange") for the technical report (the "Technical Report") prepared in accordance with National Instrument 43-101 for the three mineral licenses located on the East Malawi Extension Block in the United Republic of Tanzania, Africa (the "Licenses"). The Licenses are presently owned by Geo Can Resources Company Ltd. along with a number of other licenses which Atomic has agreed by way of letter of intent to option a 90% interest in, as detailed in the Company's news release dated January 28, 2008. A map showing the general location of the Licenses is available on Atomic's website at the following URL link: http://www.atomicminerals.com/info/AtomicTechRep_Map5.pdf


    Tuige mfano huu wa Afrika Kusini:

    Thu Jan 31, 9:07 AM ET - PARIS (AFP) - French nuclear giant Areva said on Thursday it was ready to build up to 12 next-generation power plants in South Africa, where massive electricity shortages shut down the key mining industry this month.
    Soma zaidi:
    http://news.yahoo.com/s/afp/20080131/wl_africa_afp/francesafricaenergynuclearelectricitycompanyareva;_ylt=AqjVsPZpIdTGxpxEwDGeMIi96Q8F

    ReplyDelete
  11. Mungu ibariki tanzania

    ReplyDelete
  12. wacheni ujinga wadanganyika! Huo haukua uchaguzi ulioambatana na kampeni. Hiyo ni rotattion system iliyofika nafasi ya tanzania. Mnashabikia upumbavu...huo umoja uliongozwa na drc,msumbiji, Ghana na sasa ni tz, ukitoka hapo labda somalia.
    hakuna kampeni wala rushwa, huyo rais anavyopnda kutembea sasa mtmpoteza kabisa.

    nchi haina mwenyewe

    dogo, ukerewe

    ReplyDelete
  13. hatafaidika na chochote katika kuteuliwa kwake.Angekuwa kachaguliwa ningempa hongera lakili kateuliwa tuu ktk baadhi wa wajumbe.Hiyo tz ni uzo mtupu,arekebishe nchi kwanza,rushwa,ufisadi,ujambazi,miundo mbinu mibovu,mfumo wa elimu umepitwa na wakati ,miaka saba shule ya msingi watoto hawajui kuongea lugha za kimataifa,maji machafu,barabara mbovu,ajali kila siku,ukimwi,malaria etc.iko siku watanzania washtuka kama kenya ndo mtajua ni nini kilichomnyima nyoka miguu.Tanzania itaendelea kupoteza wataalam kila siku ambao wanasoma nchini kwa moyo wote na kushindwa kuajiriwa au kuajiwa kwa kipato kidogo. Endeleeni kusifia mambo yasiyo kuwa na maana mtaishia patupu.Mnadanganywa na maendeleo ya mijini nendeni vijijini muone mtakuta watu wanaokunywa maji machafu,na hawana kipato chochote kwenye maisha na hiyo gov imewatupa wala hawakumbukwi.
    mkereketwa.

    ReplyDelete
  14. Uwenyekiti wake utawasaidia vipi watanzania?
    Kuna watu wana ushabiki wa kipunda sana

    ReplyDelete
  15. wabongo tuko very selfish,jealous,stupid and all....yaani mtu hata akipata kitu cha kumfurahia watatoka huko wa mchamba wima waanze kusema hata yasiyohusika......ungepungukiwa nini kusema hongera Kikwete.......acheni kuwa wapuuzi.....majungu na vijiba roho vitatumaliza.....Hongera Kikwete!

    ReplyDelete
  16. Ama kweli kwenda shule sio kuelimika. Hivi mtu kweli na elimu yako unaweza kusema kuwa elimu iko chini kwa sababu watoto wanaomaliza darasa la saba hawajui kusema lugha za kimataifa? Huu si ni ushamba wa hali ya juu kuhusu suala la elimu. Hao watoto wakichina wanajua lugha za kimataifa? Kijapani, Kithai, na kimalay wanajua lugha za kimataifa? Lugha si watu wanajifunza tu haihusiani na elimu hata kidogo. Wacheni kuabudu lugha badala ya kuangalia vigezo vingine vya elimu. Sasa hao wanaongea lugha ya kiingereza huku kichwani hakuna kitu utasema wameelimika?

    Elimu sio lugha na lugha sio elimu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...