fundi akimalizia kuuweka ukumbi wa klabu ya new msasani katika hali ya kupendeza, huku wana njenje wakijiandaa kuwasha moto baadaye leo usiku. ukarabati mkubwa unaofanywa hapo umeigeuza kabisa sura ya klabu hiyo maarufu ambayo ni kiota kipya cha wana njenje.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. michuzi bana, watoto wa zenji wakiwa peku zogo. huyu mtu mzima yupo kazini pekupeku unajifanya hujaona.

    ReplyDelete
  2. hapo poa kisigino hakinasi mchangani.. mmh kama namuona baba toto waziri njenje apepea..

    anti pp,uk

    ReplyDelete
  3. mambo ya bongo tambarare hayo
    pampula@gmail.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...