Michuzi,
Naomba utundike hili kwenye blogu yako.
Naona umeuliza swali kuhusu kitu gani kifanyike kuhusu hizo P.O. Box za Bongo. Eniwei, changamoto yangu kwako na waDangayika wenzangu ni hii - fanyeni utafiti au fuatilia maendeleo ya sekta husika kabla ya kuuliza swali la jumla jumla.

Kautafiti kadogo tu kangekufahamisha kwamba kuna maendeleo katika sekta ya Posta yanayofanywa na Tanzania Commissions Regulatory Authority - TCRA. Kwa kifupi kuna mpango wa kuleta Postal Codes. Kwa wale mlio bahatika kutembelea sehemu mbalimbali, mtakuwa mnaelewa maana ya Postal au Zip Codes.
Kwa kuwa sipendi uzushi, naomba waDanyika wasome wenyewe ripoti ya TCRA hapa:
http://www.crasa.org/docs/reports/10AGM-TanzaniaCountryReport.pdf
-- Metty
Kwa kuwa sipendi uzushi, naomba waDanyika wasome wenyewe ripoti ya TCRA hapa:
http://www.crasa.org/docs/reports/10AGM-TanzaniaCountryReport.pdf
-- Metty
Mitty, you know Posta is corrupted organization on earth. personal experience, nilimtumia bibie mazaga zaga ya sikukuu, kufika posta walidai lazima bibie alipe tax. My question was, what kind of Tax does posta charge on gifts items?
ReplyDeleteSo please, take your lies somewhere else, not here please.