nyota waziri akighani. siku ya valentine njenje watakuwa klabu ya maisha ostabei kutumbuiza wapendanao....ukikosa mie simo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. mamii mbona umechana namna hii? mmh mambo yako mazuri twambie nini siri ya urembo?

    ReplyDelete
  2. kaka michuzi kama unaweza nisaidia namna ya kupata kuangalia matokeo ya kidato cha nne, kupitia baraza la mitihani tasavali sana naomba urushe hapa web yao inayotoa matokeo.
    asante

    ReplyDelete
  3. tupe kiingilio cha njenje?

    ReplyDelete
  4. Chokoraa
    Kwa matokeo ya Form 4 nenda http://www.necta.go.tz/

    Hapo utapata matokeo yamewekwa tangu jana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...