AH! SIE TUSHAZOEA KUPIGA WATU 4 x 4 x FAR...HIVYO HATUPIGI MAKELELE KAMA NANIHII WA JADI WETU AMBAO TUWILI TU INAKUWA NONGWA....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. mmezoea wapi? mngekuwa kileleni kwenye ligi kuu basi!!!!!!!nyinyi mdebwedo tu!!!

    ReplyDelete
  2. Kama huwa hampigi kelele je hapo unafanya nini? watu wengine bwana!!! Siku mkiifunga machester ndo uje hapa kutuimbia, sio lesser teams kama west ham au boro.

    ReplyDelete
  3. Hamna lolote!

    ReplyDelete
  4. Michuzi sikuelewi wewe ni shabiki,mpenzi au mwanachama wa bwawa la maini acha hizo usiwe ka DR.Licky wa ch10 na uchambuzi wake wa kuwapuuza imarat kila wakati

    ReplyDelete
  5. Bro, Michu, nafikili kwa kupiga hizo 4 mtakuwa mpo kileleni mwa ligi.

    ReplyDelete
  6. we piga kelele weeee, lakini ujue mwakani championi league mtakuwa washabiki tu. Anza kuchagua timu ya kuishangilia, evaton au A-villa?

    ReplyDelete
  7. Michuzi hao Imarati na Manyu dawa yao imeanza kuchemka jikoni. Subiri tuwamalize Inter wiki ijayo - tukirudi dozi itaendelea kwa mpigo maana tunakumbana nao katika wiki mfululizo. Si umeona El Nino anavyotetemesha?

    ReplyDelete
  8. Na kweli ndio maana hamuishi kuwa wa 4.Inaonekana hiyo namba 4 mna bahati nayo sana.Lengo ni kuwa bingwa sio kuwa 4.Blues waliwapiga hao 4 tena kwao sioni kitu cha kujisifia.

    ReplyDelete
  9. Mbona wazee wa darajani unatubania? Rusha flag yetu tulivyowatumbuiza mabaharia wa Odyssey

    ReplyDelete
  10. tuwekeee walau mabao anavyofunga huyo tores

    ReplyDelete
  11. Tunawasubilia hiyo jumanne uko Italia na mkitoka tu,mnapangiwa MAn U,safari yenu kwiiiisha,na uko home position 4 anatwaa Everton safari hii nyie kwenye kombe la uefa tu.Najua sana unaombea wakutane na waturuki mchekea,hamna nafasi hiyo.

    ReplyDelete
  12. San Siro inakusubirini, inshaallah mungu atakujaalieni mupite, Shenzi nyie!

    ReplyDelete
  13. michuzi acha hizo kuwafunga vibonde imekuwa nongwa ngoja ukutane na wapiga soka eg, imarati,Man utatia akili na kuacha ngenga ,acha kuchonga wewe kwa goli za mdondo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...