wajumbe wa mkutano mkuu wa nec ya ccm wakitoa heshima zao kwenye kaburi la mwalimu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. KUNA SOMO LINAITWA PERSONAL MANAGMENT(INTERPERSONAL SKILLS) KATIKA SOMO HILO KUNA TOPIC INAITWA MISSION STARTMENT. MISSION STARMENT NI HITIMISHO LA MFULULIZO WA VIPENGELE KAMA TO DO LIST YAANI MAMBO YA KUFANYA LEO NA KESHO, SHORT TERM PLAN LABDA MAMBO YA WIKI AU IEZI KAZAA, lONG TERM PLAN MAMBO YA MUDA MREFU. SASA MISSION STARMENT NI MCHAKATO WA MAISHA YAKO YOTE MPAKA SIKU YA KUFA . KUJIFUNZA SOMO HILI UNATAKIWA UFIKIRIE KWAMBA UMEKUFA SASA UNATAKA UJUE WATU WATASEMA NINI JUU YA MAISHA YAKO. SIO TU WAKUPE SIFA ZA BURE KWAMBA MAREHEMU ALIKUWA HIVI AU VILE. HII NDIO THAMANI ALIYO KUWA NAYO BABA WA TAIFA. NASI TUNA NAFASI PIA
    TUMAINI GEOFREY

    ReplyDelete
  2. Karibu miaka tisa toka baba wa taifa atutoke.
    Ingekuwa wafu wanasema basi hao wanafiki wote walioenda Butiama wasingekubali kwenda.

    ReplyDelete
  3. Wazushi tuu,Mafisadi kibao hapo wanajidai kuweka mashada ya maua uzushi tuu.

    ReplyDelete
  4. Kutambika kumeanza. Enye mafisadi tubuni kabla laana ya Mwalimu haijawashukia.

    ReplyDelete
  5. Ee Baba tumekuja kukuaga na kukukabidhi CCM yako. Sisi tumegeuka jiwe la chuma. Tunaenda kwa kasi kuwabomoa wa Tanzania wako. Lala salama usituulize tena".

    ReplyDelete
  6. Marehemu baba wa taifa huko alipo lazima atakuwa anatapikatapika ovyo kutokana na kichefuchefu anachosikia hapo. Mwalimu na ufisadi wapi na wapi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...