Liverpool leave the Emirates with a priceless away goal following a 1-1 draw in the Champions League quarter-final first leg.


Dirk Kuyt was the Euro star once more, equalising Emmanuel Adebayor's opener after Steven Gerrard cut through the Gunners defence.


The result sends Liverpool into next week's return at Anfield as bookies' favourites, though the heavy weather they endured during the second half illustrates how finely poised the tie remains.


In between that is a crucial Premier League clash which could prove decisive for both the title and fourth place.


The first part of the most eagerly-anticipated trilogy since The Godfather saw Rafa Benitez select the same four-pronged attack that has helped the Reds to eight wins in nine.


Arsenal, meanwhile, recalled Adebayor to a side which contained not a single Englishman.


So much for not being drawn against continental opposition.
habari kamili bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Liverpool was helped by Referee, Arsenal should have a PENALTY.

    You all have seen that!

    By Mchangiaji

    ReplyDelete
  2. MICHUZI UNAJIPENDELEA AU KWASABABU BLOG YAKO NINI..??...MBONA UJAWEKA WANA WA MAN UNITED TULIVYO MBANJUA 2-O AC ROMA KWAO JANA..???....

    ReplyDelete
  3. Hello

    Kaka michuzi william uk( man utd for life hapa) na swali je liverpool au man utd ndio wanabebwa maana KUYT kamvuta HLEB mbele ya referee na hamna penalty ,lakini mliona mechi yetu ya jana Man utd 2 Roma 0 haya waleta Barcelona maana mechi 6 wameshinda moja ni aibu kweli kweli ,Ronaldo bwanaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  4. Hongereni sana kwa kupata ushindi wa 1-1. Kwa vyovyote Anfield mtapata mteremko tu

    ReplyDelete
  5. Whatever!!! I'm not complaining Ooh to be Ooh to be Ooh to be a GOONER X ♥ X

    ReplyDelete
  6. Hongera kwa Draw Kaka Michuzi,
    Sio mbaya una away goal lakini pia Wa Emirate wana uwezo wa kupata away goal vile vile, By the way jipange kwa mtanange wa J`mosi. Bro Michuzi Mbona hujatupa Big Up wadau wa Man U kwa Ushindi wa Juzi pale Roma au mpaka Mdau William wa UK akushitue? Si umeona mambo ya Christiano Ronaldo anavyokandamiza kizenji Bonyeeeee!

    Joe #21 Mdau wa Man U

    ReplyDelete
  7. Inaonyesha sasa Samsoni wetu (Adebayor)ashaanza kurudiwa na nguvu zake,

    Ni matumaini yetu washika bunduki kua wiki ijayo Nywele zake zitakua zishaota vya kutosha na kurudiwa kabisa na nguvu zake zilizoanza kupungua.

    Matumaini yetu yanafika mbali "to the extent that" next wiki ya wiki ijayo atafunga magoli mengi tu mechi moja na kuibuka mfungaji bora wa michuano hii,

    Aaaaammmmmen.

    *Mshika Bunduki Original

    ReplyDelete
  8. Michuzi sisi wa Livapul tunaamini tutasonga mbeleee japo hawa watoto wanaonyonya wa aseno walitutaiti lakn lazima wapigwe bao tuu mechi ijayo.Kimsingi aseno bila unafiki sio mchezo kweli wako vizuri kuliko sisi.na walituweka roho juu mda wote wa mchezo,nilishukuru sana na kupumua baada ya mechi.

    ReplyDelete
  9. Mimi ni bwawa la maini lakn jana madogo wametutia roho juu na sijui kama tutaviweza hivi vitoto kwenye uwanja wetu.

    ReplyDelete
  10. ETI YU NEVA WOKI ALONI! LAKINI NI KWELI YOU WILL NEVA DO ZAT WIZAUT ASISTANSI OFU REFARII, MAN NDIO KIDUME HATA USIPOTUPONGEZA LAKINI MOYONI KWAKO TUMO.

    MDAU,
    GOAL GETTER.

    ReplyDelete
  11. Jana watoto walikua wanaendekeza shoo tuu pale Emirates kama kawaida yao. Nadhani droo zimeshaanza kurudi,sasa wanachosubiria ni kichapo tuu pale Anfield. Namwomba Wenger aende kupata ushauri mbadala kwa Jose ili asije aibika pale kwa Benitez.

    Mzee wa Man U.

    ReplyDelete
  12. kwa kifupi issah marudiano lazima tuwatoe yaani kichapo nilazima piga ua galagaza na kwakuwa umezoea kunibania najua hii hutaitoa ila ukweli ndo huo lazima bwawa muondoke i will call u after the game

    ReplyDelete
  13. sioni tofauti yeyote kati ya hii game na ile ambayo arsenal walicheza na ac millan. Walitoa sare nyumbani halafu ugenini wakaenda na kushinda. Kwa hiyo natumaini the gooners will do the same thing that they did to Millan.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...