Hello Kaka Michuzi,
Habari yako. Naomba msaada. Naomba unitangazie kwa blog yako huyu mtu anaitwa Aston Kabeta (Tonny Kabeta).
Nina ujumbe wake muhimu sana. Number ya simu aliyotoa ni +1 267- 230 - 3999. Tumejaribu kupiga hiyo simu na anayepokea simu katika number hii hamjui huyu Tonny au Aston Naomba tafadhali uniwekee jamani hii ili kama kuna mtu anamfahamu au yeye mwenyewe akiona basi awasiliane na mimi. Nina ujumbe wake muhimu sana.
Asante sana na Mungu akuengezee kwa kazi hii unayofanya
Sara
huyu jamaa nilimuona miaka kama 2 iliyopita.Lakini sasa sijui anapatikana wapi?lakini mmmh
ReplyDeleteHuyu jamaa ametoa area code ya PA,USA kama unamjua mtu huko anaweza kukusaidia,i wish ningeweza kukusaidia zaidi
ReplyDeleteNilionana na mke wake jana na nikamwachia ujumbe kuwa kuna ndugu/jamaa yake anamtafuta.Saralin subiri utapata majibu.Usiwe na shaka.
ReplyDeletepoa wadau, jamaa ananidai so tafadhali kama unacontact zangu kaa kimya? nitamlipa mambo yakia sawa nyie si mnaona wenyewe mambo magumu sasa siku hizi. ila i promise nitamlipa mi sio mzurumaji sema nimechelewa tu kulipa na jamaa mwenyewe ndo anadai hadi hadi kupitia blog si noma hiyo jamani
ReplyDeleteKweli bado naomba msaada...hizo email ninazozipata kama ni yeye ananiandikia...I am speechless....I can't believe this...Lakini kama sio yeye anayewasiliana na mimi basi Aston please tuwasiliane haraka email yangu hiyo apo juu
ReplyDelete