Home
Unlabelled
ndege za ATC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michzi mbona unataka kutugombanisha na hao wanaojua ndege wamezipaki kwasababu hazina matairi
ReplyDeleteAkili ni nywele na kila mtu ana zake
OUR AVIATION INDUSTRY HAS STILL A LONG WAY TO GO
ReplyDeleteMichuzi hivyo ni videge na sio madege.
ReplyDeletewe michuzi mbona mkorofi,eti unajifanya mzalendo wa damu..eti mindege yote..duuuh ,manake aziesabiki hata kiganja kimoja cha mkono..wacha kashifa mpwa.
ReplyDeleteMichuzii acha mambo hizo ndugu yangu kwani kuna ndege hapo???Hii ni Airline inayoongoza kwa cancelletion duniani yaani kusafiri ni kama vile bahati nasibu wakati mwingine huwa tunahofia hata kuaga kuwa tunasafiri maana hakuna uhakika wa safari.
ReplyDeleteEti wanasema ndege hizo zote zipo grounded - hizo Dash kwa sababu zinahitaji daily maintenance na mtaalamu yupo mmoja tu tanzania, hajalipwa mafao yake kwa hiyo kagoma au majimovuzisha somewhere else nchi jirani! Hilo dege la Airbus eti hakuna pilot aliyesomea jinsi ya kulirusha! Can you believe that crap??
ReplyDeleteDu!:
ReplyDeleteWakati Marekani ilipopigwa Septemba 11, 2001, ilibidi katika moja ya hatua ni kuhakikisha ndege zaidi ya elfu nne (4000+, nadhani ilikuwa elfu nne mia tano na kitu..)zilizokuwa katika anga ya Marekani zinatua kwani walikuwa hawana uhakika ni ndege ngapi zingine zimetekwa.
[Source National Georgraphic, Sept 11 Documentary]
Ina maana wakati wa shambulio, idadi hiyo ya ndege zilikuwa angani.
Si vema kujilinganisha na Marekani, lakini ndege tatu (3)kwa ATC?? tena nadhani hiyo kubwa ni ya kukodi.. ni aibu. ATC wanashindwa na Precision Air, Jamani.
Bora zingekuwa kumi (10) angalau tungejivunia..
Du!
Mdau, UK
hiyo moja kama ya my next door neighbor.
ReplyDeleteNyie mnaokandia hivi mnazania hizo ndege mnazozisema ni za Marekani tu? Ni za watu binafsi na wafanyabiashara na makampuni kama Precision. AA, United Airways, Delta zote ni za makampuni ya wafanyabiashara...mosty of them cooperation...hivyo hata raia kama wewe unakua na share humo.... Sasa sijui mnawalaumu hawa nini?
ReplyDeleteTatizo letu kila kitu tufanyiwe na serikali. Wekezeni za kwenu basi zinatua angani 4000 pia kwa wakati mmoja. Kama hamuwekezi yanini kukandia. Mnaoona ni chache sana basi leteni zenu nyumbani kwani mmekataliwa? Hizi hata hao ATC wamejitahidi kuweka ndege zao...ati Marekani, marekani ....Marekani Mungu wenu????????
lol hadi aibu watu kama hawajui biashara ni bora kuacha kuliko kutaka makuu,wanataka kushindana na precision hawa.kwanza ndege zao ka daladala pili huduma za ndani sio nzuri ila mmmh wacha tuone mwisho wao polepole ya kobe yaweza kumfikisha mbali japo kwa mda mrefu.
ReplyDeleteHIYO NDIYO SHIDA YA TIKITI YA COMP. NA KUPEWA KITI CHA DIRISHANI KISHA KUAMBIWA UPIGE PICHA NDEGE ZAO WALIZOZIPANGA RASMI ILI UWAPAMBE KWENYE BLOG YAKO. HII NDEGE MOJA NA VIDAGAA LEO IWEJE MADEGE! SIJUI TULE TWA ETHIOPIA SI UTATUPONDA LICHA YA KUWA HATUWEZI KUWAFIKIA MILELE PAMOJA NA SHIDA ZAO NA AMANI NA UTULIVU WETU. kama masharti yenyewe ni hayo siku nyingine kataa tikiti ya comp. iliutimize wajibu wako wa uandishi.
ReplyDeleteWe anon wa 3:24 acha woga na kujifanya unapenda vya nyumbani. Mdau hapo juu katolea mfano tu kuonyesha gap lililopo, wala hajasema kama hizo ndege ni serikali ya Marekani. Acha kutetea uozo wa ATC. We kwa akili yako unaona sawa serikali kushindwa kuwa na kampuni ya ndege inayoeleweka? Au na wewe ni kati ya mafisadi wanaokula pesa za serikali? Kama unatoa hoja toa hoja kwa point, sema ATC iko katika hali ile kwa sababu 1, 2, 3.. sio kutetea uchovu wa ATC. Na kuhusu kampuni binafsi, ushajibiwa.. hiyo Precision ina ndege nyingi kuliko ATC, haya, tetea sasa
ReplyDeleteBROTHER MICHU POLE SANA KAMAHIYO NDEGE ULIYOPANDA DILISHA LILIKUA NA VUMBI NAMNA HIYO VP,HALI YA UMO NDANI KWA UJUMLA SI ILIKUWA BALAADUNIANI?
ReplyDeletewa 3:24 na 1:57 we vipi weweeee???acha ushamba,ndege za bongo zimewapeleka wapi,mpaka leo safari zinaishia zanzibar...TOA FACTS na SOURCES hapa,sio unatoa poitns hewa!!!
ReplyDelete