Wadau wenzangu ni imani yangu kuwa mtakubaliana nami kuwa asilimia kubwa ya wakazi wa mijini tulitokea vijijini tena kwenye makazi ya kawaida kabisa ila wengi tunajisahau hata hatukumbuki tulikotoka mimi nimeamua kuwafahamisha wadau wenzangu mahali nilipozaliwa hukoooo...Thuji milima ya upare ;Karibuni sana .Kuna umeme,mitandao yasimu,maji safi ya bomba bila kusahau makande hata mtandao wa google unatambua kijiji chetu andika neno SUJI KISHA SEARCH
Mdau baba Jordan
kweli hapo ni suji nadhani ilikua jumamosi watu wametoka kanisani manake hapo kijiji kizima ni wasabato. Mimi nilisoma hapo kipindi cha nyuma kidogo. kweli ni pazuri na hali ya hewa ni baridi sana. nimekumbuka mbali sana j'mos tukiwa kanisani wanafunzi wote.
ReplyDeleteKweli upare kunafanana, hapa pako kama Usangi ngujini. Picha bomba sana imenikumbusha mbali
ReplyDeleteFrom Wikipedia, the free encyclopedia
ReplyDeleteSuji
Coordinates: 4°22′S 37°52′E / -4.367, 37.867
Country Tanzania
Region Kilimanjaro
District Same
Population (2002)
- Total 8,072
Time zone EAT (UTC+3)
Suji is a small village in the Pare Mountains, in the Kilimanjaro region of north-eastern Tanzania. According to the 2002 census, the village has a population of around 8,072 [1] (Male: 3,974, Female: 4,098). The majority of the villagers are of the Pare tribe (legend holds that they moved up the mountains as a security measure in a similar way other villages built forts. Their main protagonists were Maasai warriors who they call 'Kwavi' and Chagga). The village is situated approximately 20km from Makanya, a town on the main Dar es Salaam - Moshi road. In terms of religion, the majority of the residents are Seventh Day Adventists.
Aliyeiweka picha hii ni lazima ni ndugu yangu....tuwasiliane tafadhali... nigondia aha:mkwanjamrefu@yahoo.com.
ReplyDeleteIssa, tafadhali wakilisha hii nikutane na ndugu yangu.
mazingira mazuri sana, nafurahi kuona bado kuna watu wanathamini nyumbani. mdau boston
ReplyDeleteanony wapili..I wanted to say the same thing. mimi mpare wa usangi..and nilipoona hio picha..nilifikiri ni usangi!!!
ReplyDeleteVery NICE. yani hapo hata tuliokulia mijini inatukumbusha tukienda kusalimia Bibi na Babu kijijini.Mazingira yanavutia.
ReplyDeleteKilichonifurahisha ktk picha hii ni usafi wa hali ya juu sana tofauti na miji yetu!!!
ReplyDeleteNI KUZURI SANA KUNAPENDEZA, UMETUAMBIA KUNA UMEME, SASA HAO WALIOKAA JUANI WANACHAJI NINI? NAJUA KUNA BARIDI.
ReplyDeleteMdau Issa,
ReplyDeletenaomba uwaoneshe wasomaji wako hii picha nzuri ya Suji.
http://upload.wikimedia.org/wikipedia/en/1/15/Sujisdachurch.JPG
Nami nafurahi kwamba angalau baadhi yetu tunathami maeneo tuliokulia kama sio wewe basi kwa namna nyingine ndugu zao. Mimi naamini kwamba kama watz tungekuwa wote kwa pamoja tungekumbuka tulikotoka kwa namna fulani umasikini wetu ungepungua. Nasema hivi kwa sababu, kwa tabia ya mwanadamu aliyeonja shida anapofanikiwa anakuwa anasahau alikotoka ambako lilikuwa ni jukumu lake kuleta maendeleo ya mahali pale. Je ni wangapi kati yenu mlioko huko Ugaibuni ungependa kupaendeleza Tz mlikotoka? Wengine hata mawazo ya kurudi bongo hawana.
ReplyDeleteMimi
Sipendi
Sipendi kwani kukaa kijijini ni shida? Sijui ni kwanini unasema watu walioonja shida wanasahau walikotoka. Hebu ona hao watu hapo wewe unaona wana shida gani? Kwa vile wako huko Suji? That is not right. Utamaduni wetu sio wa magorofa na ma skyscaper...Utamaduni wetu ni wa mud houses.
ReplyDeleteSasa kama umeshatoka na kuishi kwenye majumba ya wadhungu sio kuwa umeepuka umasikini bali umeebadilisha utamaduni wako.
Eskimos wanavyoishi mpaka leo utawaita masikini?
Basi basi basi, MSINYONGANE tena.Haya wee kaa chini, wee kajiandae uende zako utachelewa skejo,na wee anza kutembea taratibu mpaka ufike kariakoo kwa mguu unapiga domo tu hapo, na wee kafunue pale nimekuwekea mihogo yako,ukimaliza ufue shati, Mhhhm Mikelele tu wote kwenu BONGO.PICHA NZURI.
ReplyDeletekwenu wapi wakati ni kwa mjumbe wenu wa nyumba ten ten ambapo mnakutana kusikiliza taarifa ya habari.
ReplyDeleteChedi hira,Habari Ja Ndima? Urewedi? Kama thio wangenji,ningekutora kibora kimwe ukagwire kwe mitura!Michuudh thina mpango naye,thaa dhote yeye ana thmile tu kwenye picha!This iidh very therious!Michuuz The Konooooz mbavu hana!Nashindwa nyanyachungu(ngogwe)nitakutumiaje,mpe Michuuudh anuani yako,pleaadh!
ReplyDeletehaaaah"! hapo si kwakina semkaye kilozo na yeye si huyo na mother ake enzi za utoto wako michu?
ReplyDelete