MAREHEMU MARY MACKEJA AKISALIWA MARA BAADA YA MWILI WAKE KUWASILI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA JK NYERERE JANA. KUTOKA KUSHOTO NI NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI ALHAJ KAGASHEKI, WAZIRI MEMBE, NA WAZIRI WA ZAMANI NA MWANA DIPLOMASIA MSTAAFU SIR GEORGE KAHAMA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2008

    poleni wafiwa mungu ailaze pema roho ya mama wetu mpendwa.
    na shukrani kwa waliosaidia kwa hali na mali.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 20, 2008

    Samahani kuuliza sio ujinga, Mama Mary Mackeja ndio nani? yaani ni waziri, mama yake fulani au vipi, kwasababu mimi simfahamu.

    Naombeni mnisamehe kwa kuuliza hivyo.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 20, 2008

    Michuzi kwani mama kotta amefia wapi? umeeleza lugalo hosp. Hapa tena mwili ukiwasili airport. Unatuchanganya

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 20, 2008

    Pamoja na mengine aliyoyafanya, Mama Mary Mackeja ni mwanzilishi wa Red Cross hapa nchini katika miaka ya Sitini. Aidha, mume wake alikuwa ni Chief Makwaia ambae alipata nae mtoto mmoja ambae ni kiongozi wa idara ya kompyuta ya Benki Kuu Tz tangu miaka angalau kumi hivi. Mama alifariki akiwa Marekani wiki iliyopita.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 20, 2008

    Mary Louise Mackeja is no more

    2008-05-18 10:56:47
    By Staff Reporter


    The first Secretary General of the Red Cross in the then Tanganyika Mary-Louise Mackeja has died in Westchester Medical Centre in New York on May 13 after succumbing to kidney failure.

    A statement issued by her family members yesterday said the late Mary-Louise suffered from kidney failure since 1999 and began treatment in the US.

    Being the first African woman in the then Tanganyika to receive a driver`s license Mackeja was one of the first women of Tanganyika to join the University of Makerere in Uganda.

    She was born on February 28, 1928 in the village of Nkolandoto, Shinyanga and was raised at a Mission where she was babtized at the African Inland Church (A.I.C.) Nkolandoto.

    In the year 1951 she enrolled at the University of Makerere in Uganda. Between 1956 and 1957, she taught at Bwiru Girls` Secondary School in Mwanza and between 1958 and 1960 she taught at Rwamishenye Girls� School in Bukoba.

    After completing a course in Development Studies at the University of Michigan (USA) in 1960, she resigned teaching and joined the Sector for Development in Tanga where she worked for a year.

    Between 1961 and 1985, the late Mary-Louse joined the Red Cross Tanzania where she worked as its first Secretary General.

    SOURCE: Sunday Observer

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 20, 2008

    Mdau unayetaka kumjua marehemu kupitia hii global ni kwamba alikuwa mwakilishi wa kwanza wa Red Cross kama sikosei pia alikuwa mwanamke wa kwanza kupata driving licence TZ na kwamba mauti yalimkuta akiwa America. Wadau mimi ndivyo nilivyomjua huyu mama kupitia global ya michuzi. Mwenye data zaidi aongezee wadau wafahamu.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 20, 2008

    Mdau wa 7:21 umechanganya misiba miwili. Hapa ni Mama Mackeja na si Mama Kotta.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 20, 2008

    wewe anony uliyeuliza mama Mary ni nani?ok Mama Mary alikuwa mwanamke wa kwanza kupata leseni ya udereva wa gari huko tanzania,pia alikuwa katibu wa shirika la msalaba mwekundu hapo zamani,pia alikuwa dada wa mbunge wa viti maalumu MHESHIMIWA JANET KAHAMA,pia alikuwa mke wa kwanza wa chief wa wasukuma RIP David kidaha Makwaia

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 21, 2008

    its real shame to that kinda of cart carrying casket...thats disrespectful and lack human dignity...those clap are not deserving even to carry luggage...cmon guys u need to be serious in business its not a joke thats a big shame why dont u guys find even a simple n clean casket / coffin carrier just to show a respect to the human body...i believe it wont cost even a US$1000

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 21, 2008

    i cant believe to see that kinda of gabbage carrying a casket of human being...hii ni aibu is it real kweli au jamaa hao wahusika wanashindwa kupata equipment for carrying coffins...hiyo kitu ilivyo chafu look at those wheels...stains...kutu...halaf kuna watu wanaenda ofisini every morning kukusanya kodi...its high time kuleta investors wa nje au kuleta ushindani wa biashara for the better and quality services

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 21, 2008

    If you think the Cart carrying Casket is dirty go and buy one and donate to the airport authorities otherwise even yourself when you die your casket will be carried by the same dirty cart which by that time you die will be the dirtiest!!! so you will be carried on on the dirtiest cart.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 21, 2008

    ama kweli watanzania wana mbwembwe,anony 8:04am umenichekesha kweli

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 21, 2008

    anony wa 8:04am umenichekesha sana ulivyomsuta anony wa 12:19am.najivunia kuwa mbongo.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 21, 2008

    nyinyi wote mnaosupport hizo cart unaonyesha jinsi gani vichwa vyenu vilivyojazwa ujinga...na huo ujinga ulivyo ulivyostick kwenye vichwa vyenu...

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 22, 2008

    I am absolutely appalled by some rude insensitive comments (above). The people responsible ought to be ashamed of themselves!

    Mpendwa wetu, Mama Mary, Rest in Peace. You will always be in our hearts. Jennifer & The Gordon family in England, Germany, Tanzania & Kenya

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 22, 2008

    jamani kuweni na adabu mnaotoa maoni ya hovyo hapa, namsapoti anony hapo juu KAMA UNAONA HIYO KITU ILOBEBA JENEZA NI CHAFU NA HALI DUNI? toa mchango basi ili airport yetu INUNUE NZURI ITAKAYOPENDEZA.
    Mpeni heshima za mwisho huyu mama yetu jamani kwani SHE WAS DIFFERENT na hakuwa na tabia chafu, maisha yote alikuwa MWEMA na sio kama mdogowake. Mama Mackeja HAKUCHUKUWA MUME WA DADA YAKE WALA KUWA NA SIFA YEYOTE MBAYA.
    SO PLEASE GIVE THE LADY RESPECT AND STOP PUTING BAD COMMENTS.
    THANK YOU.

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 22, 2008

    There is absolutely NO NEED to make NEGATIVE COMMENTS about MAMA MARY'S FAMILY/RELATIVES. It is neither the place nor the time for SUCH DEROGATORY and HURTFUL COMMENTS. It's uncalled for.

    Have some RESPECT, SYMPATHY and EMPATHY for Mama Mary's family at this very sad time.

    MAMA MARY REST IN PEACE, Love, LeilaJENNIFER

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...