Home
Unlabelled
vazi la taifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hapa ndio tunapokosea. Vazi la taifa si lazima liwe na bendera. Ukiangalia mavazi ya wenzetu waswazi, wanigeria, indonesia, wahindi n.k., hayana rangi za bendera.
ReplyDeleteKinachohitajika ni kuangalia katika mavazi yetu ya asili, lipi tunaweza kulitumia kama utambulisho wa taifa eg kikoi, lubega n.k.
Mdau
http://drfaustine.blogspot.com/
Hicho kiatu pia cha kitaifa?
ReplyDeleteNani kasema?
ReplyDeleteThat guy sitting on the chair hapo kulia kaonekana kama Rais Kikwete..... au ni picha imenipiga chenga ???
ReplyDeleteVazi nzuri lakini. Jirani wetu Kenya wametafuta mavazi "official" ya wanawake kwa muda wamiaka 20 lakini wapi.
Hii naona imetulia.
Too black nyeupe ingekuwa poa hayo ni mawazo yangu tu
ReplyDeleteMangi
No, no no!! Utafikiri tunamourn badala ya ku-celebrate! Na modo mwenyee??
ReplyDeleteMdau uliyezungumzia rangi za bendera hapo; vazi ni huo mshono wenyewe na wala siyo hizo rangi. Na mshono siyo lazima uwe "exactly" kama wa huyo mama hapo juu, ingawa usiwe tofauti sana. Rangi zozote za kitenge, au za kiafrika zitakubali huo mshono.
ReplyDeleteMimi binafsi nimelipenda hili vazi kwa sababu haliendani na vijanamke vilivyokonda "vi-miss mabibo".
utadhania kifaru tayari kushambulia!
ReplyDeletemtindo mzuri sana, tatizo kama huana wowowo, kasheshe !!
ReplyDeletemdau Tarehe May 20, 2008 6:49 PM, Mtoa Maoni: Anonymous
ReplyDeleteSOME PEOPLE ARE NATURALLY SKINNY..huwezi ukamlaumu mtu just because yeye ni mwembamba..inaudhi sana
hili vazi lipo Okay!
Limepitishwa na Bunge la Wananchi au kulikuwa na kareferendamu ka kisirisiri?
ReplyDeleteMimi nilidhani vazi la Taifa ni lile lililotumika kumkaribisha Komandoo Kichaka kutoka Kiwanja!
we mangi hapo juu kama we mweusi kama mkaa kivyako nyeusi ndio nzuri
ReplyDeleteVery good wadau constructive comments especially 7:23.
ReplyDeleteKeep it up mdau kwani unafurahisha sana its out of the blue.
Vazi la taifa mbona wazee wanavaa suti?? Huu ni ukandamizaji wa kiujanja kwa mama zetu
ReplyDeleteMweh mweh mweh!
ReplyDeleteWe Muhidini we.
Hiyo RANGI NYEUSI na JOTO hili la Bongo si hao mama zetu wataivia humo ndani!?!
Khaa!
Mwanamke tenge mwanaume chyonglai.
ReplyDeletehayo ni mambo ya kizamani kwani mavazi ni ladha ya mtu na wala hakuna utaifa kama kweli utaifa upo kila basi viongozi wetu wangeleza chonglai badala ya misuti ya bei mbaya.
vazi la kitaifa kwa watu wa pwani ni msuli kutokana na magonjwa ya mishipa.
ReplyDeleteHaina haja ya rangi ya Mabendera kwa kwa kila kitu chenye kuonyesha utaifa mbona kuna vitu vingi tu ambavyo .. vinatutambulisha sisi watanzania kuliko hata hiyo Bendera ,, kwani huku Amerika tukivaa bendera yetu ya Bongo wengi hawaijui , huwa wanafikiri na JAMAICA FLAG sababu rangi zinashabihana ..vile vile wnzetu Jamaica walijitangaza kwa Bendera toka miaka mingi Enzi za BOB MARLEY.. Hivyo ningeshauri tutumie nembo nyingine kuonyesha utaifa.. kama vile Twiga Simba ,Kilimanjaro mountain nk.. mimi nimechoka kuitwa Mjamaica kila ninipovaa kitu chochote chenye kuonyesha bendera yetu bila jina ..
ReplyDeleteWe unaedai kuita wanawake waliokonda hujui tofauti ya Wembamba na Kukonda na INAONEKANA una matatizo fulani hivi hivyo kwa kuongelea wengine VIBAYA wewe unajisikia VIZURI kidogo,unapata nafuu ya machungu na ishu ulizonazo.Watu wanaongelea VAZI,mengine yametoka WAPI????Taratibuuu.
ReplyDeleteNYIE VIPI KWANI MMEAMBIWA TAIFA LA TANZANIA, KUNA MATAIFA MENGI TU. MULIZENI AWELEZE NI TAIFA GANI.
ReplyDeletejamani nilisikia pia nguo ya batiki ni vazi la taifa,shona mshono wowote lakini inakutambulisha kuwa ni mtanzania.
ReplyDeleteMichuzi hiyo picha umepiga wewe au ninauliza hivyo maana hapo umezungumzia vazi lakini binadamu lazima awe na roho ya wivu na mbaya, vazi limeandikwa la Taifa, comments watu wanaanza kutoa kwa mama wa watu eti oo linafaa kama mtu ana wowowo yote hayo hanatokana na nini eti oo kama kifaru jamani muwe wa staarabu mama wa watu hajawakosea kitu chochote mwaanza kumkashif michuzi angalia sana hao watu si wazuri gday
ReplyDeleteHapo sawa lakini kigezo gani kimetumika kulibuni vazi la Taifa. Napenda sana kuwepo na kitu kama hicho lakini iwapo mtu atauliza historia yake hat mbunifu anaweza kushindwa kutoa jibu. Vazi la taifa maana yake ni vazi linaloichora taswira ya watu wa taifa lile yaani chimbuko na imani za watu wale. Huwezi ukaja na vazi bila maelezo halafu ukasema ni vazi la taifa hutueleweka na wengi. Ila yote tisa wazo ni zuri.
ReplyDeleteMimi
Sipendi
we 7.40 kama mtu ndio mungu alivyomuumba inaamana asivae nguo ya taifa! Hayo ni mawazo yako binafsi kwanza siku hizi wala hatupendi mizigo ya nyuma.
ReplyDeleteIla vazi ni zuri linaweza likawa katika rangi yoyote inayompendeza mtu kutokana na rangi yake aliyoumbwa nayo. Bendera sio lazima lakini inapendeza kama mtu akiwa kwenye matamasha yanayomtaka ajulikane kwa utaifa basi avae ya hivyo.
Balaa kubwa!
ReplyDeleteWEWE Tarehe May 21, 2008 7:54 AM, Mtoa Maoni: Anonymous EMBU JARIBU KUONGEA FACTS .. NDIO NIMESEMA KUNA WATU AMBAO THEY ARE NATURALLY SKINNY, NI SIZE ZERO, UNAWEZA KUMUANGALIA UKADHANI KAJIKONDESHA KUMBE NDIO GENES ZAKE ZILIVYO! NA VIVYO HIVYO KUNA WATU AMBAO THEY ARE NATURALLY FAT, HAWA HATA WAFANYE DIETS ZIPI,HAWAKONDI NDIVYO WALIVYO NA UNAKUTA MTU WALA HALI SANA,UKIMUANGALIA UNADHANI MLAFI KWAHIYO NAONA MI COMMENTS YENU NI YAKUKANDAMIZA SANA WANAWAKE. VI-MISS MABIBO VIACHE,MBONA MNAVITONGOZAGA BASI!?!?...NIMECHOKA NA WANAUME WA TANZANIA NA HULKA ZAO! THIS IS 2008!!! GIRL POWER!
ReplyDeleteJamani kwani vazi la Taifa ni kwa Wanawake tu ?! .Wanaume wa Tanzania nao watatambulika Vipi ua ndo hizo rangi za Taifa ?! Na kama ni mtindo/mshono ni upi basi !? Jamani ma-dizaina wa mitindo ya nguo mpo.... ??!
ReplyDeleteNdg wa May, 21,6.09, Mimi pia nilikuwa namjibu huyo huyo anaesema kina miss- Mabibo(wanawake wembamba)Nilikuwa nakemea hiyo tabia ya kuongelea maumbo ya watu,labda hujanielewa.ni HAYO TU.Peace.
ReplyDeletekaka michu tunakupenda kaka yetu lakini kazi ya kutuvalisha kaniki kama waganga wa kienyeji tumegoma na kiatu hicho nope,we refuse
ReplyDeleteDAH ANONYMOUS 7:54 NILIKUKWOTI VIBAYA,I THINK I MEANT KUMKWOTI MTU MWINGINE..NOW I CANT REMEMBA WHO..PLEASE FORGIVE ME MY BROTHER,PLEASE FORGIVE ME,AM I FORGIVEN?
ReplyDeleteanonymous 1:54 we vipi wewe??mbona pumbalist
ReplyDeletemiss keys
Hamna neno Ann. wa 22 may 1:54, kuhusu maumbile, Nimekusamehe najua hukuwa umenielewa its ok. peace.We r in the same page.Thanks kwa kuwa mstaarabu.
ReplyDeletewewe MISS KEYS WA 2:09 NDIO PUMBALIST,KWASABABU SIZANI KAMA YANAKUHUSU.HUJATAJWA,UNAITIKA.
ReplyDelete