Home
Unlabelled
wapi hapa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Beautifl!Mimi sina clue ni wapi, ila nimefurahi sana kwa utambuzi wako kuwa kwa kawaida sehemu tamu kama hizi zinapatikana A-Town. A-TOWN OYEEEEE!
ReplyDeleteHapo ni nyuma ya Hotel ya MOVENPICK ... mvua ikinyesha maji hujaa katika Garden yao!!
ReplyDeleteMpendakeroro...
Mi na swali pia kabla ya kujibu lako:
ReplyDeleteMimi ni nani? Kwa kukusaidia tu mimi ni Mtanzania. Sio mkenya
Jibu la swali lako:
Hapo ni ile sehemu yenye maji na miti.
NB: Maswali mengine yanafurahisha sana kwa kweli. Maana hayana uti wa mgongo wala kiuno!
mdau hapo juu.umenifurahisha sana! yaani sijacheka for ages laikini comment yako imenipa raha!
ReplyDeleteHapo ni kwenye Bustani ya Adam na Eva na kwakukusaidia hiyo picha alipiga Eva aweke kwenye album yake. Ahsante
ReplyDeleteHapo Home.......
ReplyDeleteMdau T-Dot
Hapo ni sehemu ya bustani ya moja ya mahekalu ya mafisadi wa kibongo !!
ReplyDeleteYou pipo are killing me OMG, we wa swali-jibu na Wa Adam na Eva, thanks 4 makin me laugh, ooohh ndg mnachekesha sana kwa kweli.
ReplyDeleteHAPO NI MJIMACHAFU, SINZA.
ReplyDeleteMichu; Umesahau ama unataka tu kunipa title!! Hapo ni nyuma ya gheto langu K-nyama!!! Nanyori
ReplyDeleteHapo uhani kwangu na bado hujaona mazigira ya mbele ya nyumba! Jumba lenyewe sasa, sisemi sana!
ReplyDeleteMuhaya
Nakumbuka Shuleni nlikua najibu maswali magumu tu,
ReplyDeleteYaan mpaka ilifahamika kua kwangu swali likishindikana ujue limekosewa,
Sasa nakujibu confidencely kua
"HAPO NI KWENYE PICHA"
Tihi tihi tihi,
Baa-Halali
Minahisi hapo ni hanging garden of Eden (sijui hata ni wapi) ila uhakika mmoja tu ninao kwamba ni duniani tena Africa, Tanzania na ni Dar si A- Town kama ulivyosema. Yawezekana Holiday inn au movenpick.
ReplyDeleteHAPA NI KWENYE PICHA ILIYOPO KWENYE MONITOR!
ReplyDeleteNIMECHEKA COMMENT YA Tarehe May 20, 2008 4:33 PM, Mtoa Maoni: Anonymous KUDADADADADADEEEKIIIII..UBARIKIWE!
ReplyDeleteirene na annonimous kibao, mbona mnapata tabu kujibu swali rahisi kama hili! nina wasiwasi na shule zenu nyie..
ReplyDeleteHAPO NI KWENYE SCREEN/MONITOR YA COMPUTER.