mwimbaji mashuhuri wa taarab sabbah muchacho akitumbuiza katika onesho la mavazi la kimasomaso ukumbi wa nssf waterfront usiku kuamkia jana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 15, 2008

    Wallahi mi namhusudu huyu dada, kajaaliwa umbo zuri, sura nzuri sauti ndo usiseme. Hongera sana dada Sabaha

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 16, 2008

    balii uko wapi najua unaweza tuimbia wimbo wote anaoimba sabah kwa maneno hapa kwenye blog yetu ya jamii.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...